Beat ya wimbo wa Ally Kiba inafanana na wimbo wa Matonya

el nino

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
4,712
5,031
Wimbo mpya wa Ally Kiba beat inafanana na wimbo wa Matonya (Unanimaliza).

Nadhani watalaamu wa muziki mnaweza kugundua Producer alifanya nini maana mi naona kilichoongezeka ni guitar tuu, ila beat linafanana naweza sema producer alisample wimbo wa 'Unanimaliza'.

Wanaofahamu zaidi jinsi ya kusample beat natumai watakuwa wameelewa zaidi.
 
So what! Haters bwana hamuhishiwi kasoro! Utasema pia wakati anaimba hakuoga n.k ila ndo keshautoa na unabamba kinomanoma wewe na Chuki yako chukia au jinyonge kwa baxoka.

Hahahaaa, wameshaanza....
 
Wengine hatuzijui zote...wekeni tutofautishe. Mleta mada rusha kink za hizo nyimbo mbili nasi tujaji.
 
Nadhani ili la beat kufanana nili liona mapema baada ya kuusikia huu wimbo yani unapo anza tuu unaweza fikiri ni huo wa matonya yani beat hile hile huyu producer kamuharibia kabisa wimbo ulikuwa mzuri sana!

Ngoja matonya atafunguka soon.
 
Wimbo mpya wa ally kiba beat inafanana na wimbo wa matonya( unanimaliza) ... Nadhani watalaam wa muziki mnaweza kugundua producer alifanya nn maana mi naona kilichoongezeka ni guitar tuu ila beat linafanana naweza sema producer alisample wimbo wa unanimaliza..

Wanaofahamu zaidi jinsi ya kusample beat natumai watakuwa wameelewa zaidi....

Mtakuja na mengi sana mwaka huu...

chekechacheketua ndo habari ya mjini!!!
 
kaharibu nini sasa? Beat kufanana na ya Matonya inafanya wimbo uwe mbaya!?

Ubunifu zero... Tunategemea makubwa kwa msanii kama kiba iweje akubali kufanya kazi kwenye mdundo unaofanana na super hit ya matonya "unanimaliza"??
 
Nadhani ili la beat kufanana nili liona mapema baada ya kuusikia huu wimbo yani unapo anza tuu unaweza fikiri ni huo wa matonya yani beat hile hile huyu producer kamuharibia kabisa wimbo ulikuwa mzuri sana!

Ngoja matonya atafunguka soon.

Mi nina uhakika Tonya hajamuuzia mtu beat hii
 

Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom