Rule L
JF-Expert Member
- May 31, 2020
- 2,158
- 3,419
Sasa mguu wa mtoto wa nini?Hamna Mkuu hiyo kawaida Mkuu kwa sisi walemavu tunakuaga na Mguu wa mtoto wa nane mpaka tisa kwahiyo atapewa
Sasa mguu wa mtoto wa nini?Hamna Mkuu hiyo kawaida Mkuu kwa sisi walemavu tunakuaga na Mguu wa mtoto wa nane mpaka tisa kwahiyo atapewa
Toto kama toto, inabidi mliupgrade lipate hata mafuta ya parachichi lianze kung'aa kidogo!Hahahhaha toto linapaka mafuta ya konokono
Astakafirullah! Huyu atakuwa mpemba piwa huyu.
Mguu wa mtoto wa miaka 8 mpaka tisa ndo unamfaa ili kumtuliza .Sasa mguu wa mtoto wa nini?
Poa mkuuMguu wa mtoto wa miaka 8 mpaka tisa ndo unamfaa ili kumtuliza .
Wenzake waliokuwa Kama yeye walipewa wakatulia Ila huyu hajapewa
Poleni sana, kama wanaume wenyewe ndiyo hawa basi kazi mnayo!Hawa wa jf hawana tofauti na WA huku nje😹
Nikupe polee 🚮Wadada wa jamiiforums wengi wana sura za wajomba zao, wivuuu
Kama mwanaume basi mlango wa pili hauna bawabaUtazeeka hujadate na man kama mimi, endelea na dharau
Me wengi wana kucha ogii compare na ladies fanya tafiti urudi tenaSema ana kucha za kike kama ni mwanaume
Mdomo kama kiatu cha wizi duuh! Hebu jikazeUtazeeka hujadate na man kama mimi, endelea na dharau
😹😹uzuri ni sisi ndo tupoWadada wa jamiiforums wengi wana sura za wajomba zao, wivuuu
Shoga huyo mzee mwenzangu, naumia wamama wanazaa watoto na jinsia zao nzuuuri ukubwani wanabadilika😭Hiki ni nini?
Huyu mtoto ana seek attention shenzi sanaShoga huyo mzee mwenzangu, naumia wamama wanazaa watoto na jinsia zao nzuuuri ukubwani wanabadilika😭
Inasikitisha sana, nina watoto wa kiume tupu, nikiona hivi nasikia uchungu sana 😪Shoga huyo mzee mwenzangu, naumia wamama wanazaa watoto na jinsia zao nzuuuri ukubwani wanabadilika😭