Mlaleo hivi hata huku unataka kuleta ligi? Huku watu wana chill so please join the teamMkuu kwakuwa unasifika kwa uchawii basi kila uliletalo utataka watu walikubali... la sivyo unawatishia kuwageuza paka... sasa kwahili halina hata chembe chembe ya Beach Soccer... rekebisha heading ya thread yako...