Galapagosi JF-Expert Member Apr 21, 2017 2,848 2,634 Jun 7, 2017 #4 Aiseeh. Nguvu ya ziada inahitajika
SHAMAC JF-Expert Member Feb 9, 2017 1,343 3,561 Jun 7, 2017 #6 johnsonmgaya said: Click to expand... Duuuh,,, Wew huyooo na wanao..,, Ni mwendo wa vyupi tu....!! Hya tumeshawaona wadhungu...!!
johnsonmgaya said: Click to expand... Duuuh,,, Wew huyooo na wanao..,, Ni mwendo wa vyupi tu....!! Hya tumeshawaona wadhungu...!!
niachiemimi JF-Expert Member Feb 18, 2015 3,579 5,241 Jun 7, 2017 #7 Dogo anataka baba atembee mikono mifukoni.
mjingamimi JF-Expert Member Aug 3, 2015 41,878 50,472 Jun 7, 2017 #9 darcity said: Hii itakuwa ziwani Click to expand... Unazungumzia mikoani? Maana mzee kadindisha hapo.dogo kashika penyewe
darcity said: Hii itakuwa ziwani Click to expand... Unazungumzia mikoani? Maana mzee kadindisha hapo.dogo kashika penyewe
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,640 729,671 Jun 7, 2017 #11 johnsonmgaya said: Click to expand... Dah dingi ana sura ngumu kweli
Mgodo visa JF-Expert Member Nov 1, 2016 3,590 3,626 Jun 7, 2017 #12 Ningemshauri JPM apige marufuku WATOTO under 18 kuhudhuria BEACH.... Vingine huwa VINAKUA ni VICHOCHEO vya Ngono... Kutokana na VIVAZI vyao...!!
Ningemshauri JPM apige marufuku WATOTO under 18 kuhudhuria BEACH.... Vingine huwa VINAKUA ni VICHOCHEO vya Ngono... Kutokana na VIVAZI vyao...!!
Foxhound JF-Expert Member Dec 15, 2013 28,726 76,125 Jun 7, 2017 #13 johnsonmgaya said: Click to expand... Tobaa
corasco JF-Expert Member Jan 17, 2016 3,664 3,386 Jun 7, 2017 #14 Aibu gani hii yaan mi mtazamaji sitaki kuona Mara mbili.
Yudasti JF-Expert Member Jan 22, 2017 947 1,353 Jun 7, 2017 #15 Yule Rahisi wa Chama Cha Maticha Bongo huitwa nani vile
Handsome man JF-Expert Member May 6, 2017 880 956 Jun 7, 2017 #16 Jamaa anaonekana kama mwalimu hivi yuko likizo kujivinjari na watoto wake
Mr Q JF-Expert Member Aug 16, 2012 17,433 37,044 Jun 7, 2017 #17 Handsome man said: Jamaa anaonekana kama mwalimu hivi yuko likizo kujivinjari na watoto wake Click to expand... hahahaha
Handsome man said: Jamaa anaonekana kama mwalimu hivi yuko likizo kujivinjari na watoto wake Click to expand... hahahaha
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Nov 25, 2010 62,197 128,127 Jun 7, 2017 #20 dogo ametafuta balance ya kusimama vizuri hamna ubaya ndiyomaana Dad katulia tu.