Beach gani nzuri jamani Dar-es-salaam

Masikini Francina alikuwa mke wa owner wa kijiji beach. ..RIP
 
[emoji17] [emoji17] [emoji120] [emoji120]
Ameshafariki
Innanillah wa innanillah raajun

Mkuu..
Kijiji beach ilikuwa ni beach inayoongoza kwa uzuri na ubora kigamboni nzima ila imeungua kwa bahati mbaya mwakani wataanza kuirekebisha upya.

[emoji4] [emoji4] [emoji120]
 
Alifariki yule mama wa kihaya. ..
 
Dah! samahani, niliweka kwa nia njema kabisa lakini kuna mtu kanambia umefanya kosa. Siwaambii iko wapi kwa sababu za kulinda mazingira.
Post ya zamani sana asee ila ulipotaja BOZA umenikumbusha mbali kwakweli Sangatini,Shungubweni,Funza,Jangwani unaingia BOZA MCHANGA LAINI hahaha ukizidi tokomea zaidi kisiwa flani unaingia huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…