Na go wait 'em!
Ila swahiba, mkataba wenu ni wa kwenda beach,
Unaweza kunitajia categories ya matukio mtakayojiri nayo, zaidi ya kubalizi??
hahahaha! Yaani mkweo unaniita mpenzi! Ntakunyima kabinti kangu. Lol
Kwani umeambiwa wewe??
Hehehehee kwani mpenzi si mtu unayempenda au lazma uwe una nanii nae??
Kipipi Kwenzi la mpenzi haliumi....!
lazima ndio... Lol
Ebu sogeza sasa hicho kichwa chako nikukoe tuone ka hujaumia!
Ndo raha ya kuwa na wapendwa!
Hahahahaaaa haya gonga sasa bichwa hilo nimekulengeshea
Arushaone nae ni mpendwa??
MwaaaaaaaaahNikikuacha utaona kama nimeshindwa,
Kukukoa kwenyewe nakuonea huruma!
Haya jihukumu mwenyewe! lol
Teh teh
Mwaaaaaaaaah
Hope ni hukumu kubwa sana kwangu!