Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Baba V... niambie meeen...Wewe, ni ofa tu ndo imekufanya ujisahau hadi jinsia!???
Baba V... niambie meeen...
ok...kwenye 0792 sio....poa...
Mi mbona nipo tu mpendwa wangu . . . . .we ndo umepotea!
I'm glad that you fine,
Vipi ndugu we hupendi kwenda beach?? Ofa ndo hiyo! lol
Unaogopa kupelekwa beach ya pale mabibo mwisho teh teh teh!!!!
hii ofa naitaka... Kesho usiponiona jf ujue nakula upepo beach mie. Lol. Ntakuuplodia maphoto tu.
Heheh . . . .kila la kheri shostito!
Nijie na Ice cream
hilo tu? Usikonde mpenz.
Hahahhaaaa ile nomaaaaa Kipipi mi kwangu ni km kawa TMK[/QUOTE]
Sio siri umeniacha majohe kwa ngozoma!
Usijali mpenzi Catherine
Chezea Erickb52 kwa kudandia!!? alishadandia treni ya Mwakyembe wakati safari yake ilikuwa ya Chalinze
Angekuwa karibu ningemgea kwenzi!