BE WARNED:this is for all mmu female members

Yalaaaa,
Yani umequote maelezo yangu halafu ukaunganisha na ujumbe kwa ladies wote humohumo.... Hautawafikia mazee.... Hebu do the needful
 
Ha ha ha ha, vijana wanasaka ndoa hapa

Wakati wenzao tunasaka tundi tu.

Too much criminal Investigation movies are not good
Lakini huyo dogo wa kusaka tundu kw kuua tundu kaharibu mbaya
 
Mmmh, ulikuwa unasaka ndoa?
Kongosho, kusaka ndoa sio swala la ajabu hasa kwa binti au mdada ambaye bado hajaolewa, na haata walio kwenye ndoa walipitia shuruba flani(kama wapo ambao hawakupitia basi ni bahati yao).

Kuhusu Nilijuaje kuhusu yeye....najua mwenyewe. Kwamba aliniingiza town au lahh.....hili nalo sio kwani mie mwenyewe mjanja wa jiji, sijaanza kujua internet leo na michezo yake.

Kuhusu kumtaja, siwezi kumtaja huyu mtu, nimeweka hii kuwaonya wanawake kwamba wawe makini na watu wa mitandaoni. Ni kweli wapo waliooana kwa kuwapata wenza wao humu humu, na facebook...(nawajua kwa majina), mimi pia kupitia facebook nilimpata rafiki ambae amekuwa ni msaada kwangu na kwa familia yangu kwa jinsi Mungu anavyomtumia. Hivyo humu wapo wa kila aina i.e. wazuri na wabaya, la muhimu ni umakini wa namna ya kuwachuja.

Kwa mlengwa: Muhimu Mhusika abadilike, asipobadilika ajue kuna Mungu asiyependa uongo na hivyo hukumu yake inamngoja. Kwani akisema ameoa na anataka tu mchezo kuna ubaya gani, why atafute sympathy?
 
nashangaa sana mtu ambae anaponda wapenzi wa hapa,watu tumenyamaza tu ! sitaki maswali
pole sana
kwa nini mtu aseme mkewe amekufa jamani?
 
Hujanielewa, nilikuwa na maana ya mwenye thread kama ana UPENDO wa kweli amtaje jina lake huyo jamaa tapeli.

Muhimu sio kutaja jina, la muhimu ni umakini mpendwa. Kuna matapeli wengi humu, kuna baadhi ya watu wana access na internet za bure hawana ya maana ya kufanya zaidi ni kufanya michezo michafu kama hii. Sasa tutakutajia wangapi?
 

Nakadori pole sana....ni moja ya mbinu ya wanaume na wanawake kutongozea mitandaoni, keep in mind pia kuna wanawake malaya huku wanatafuta wanaume wakuwatapeli.....kwangu mimi sioni kama kuna tatizo hapo maana mwanamke anatafuta mwanaume na mwanaume anatafuta mwanamke mtandaoni. Sio wanawake tuu naamini pia kuna wanaume wameshadanganywa mitandaoni sema wanaume ni wasiri. Pia kila kitu unachokifanya kuna advantage na disadvantage, kwa hiyo chukulia hiyo ni moja ya changamoto tuu..usife moyo utakuja mpata wa kweli siku moja...keep on searching.
 
unalalaje na lijitu hulijui vizuri tena mtandaoni aisee kinadada tuna kazi sana mbado aiseee!

Kitu ambacho kinanisikitisha mtoa mada alivyoileta hii mada inaonyesha asilimia kubwa ya wanawake humu mtandaoni wanatafuta kitu....wako kwa ajili ya kutafuta wanaume....mimi kwa kweli sipati picture mwanamke unamtongoza mtandaoni alafu anakukubali....lazima ujiulize kuna wangapi ameshawagegeda na pia kuna wangapi wameshamgegeda....Strange kwa kweli.
 
Kuna mambo mengine yanashughulikiwa na muda tu

Umri ukisonga uhalisia huingia akilini (ellusions zote hukimbia)

Enzi zile za mkoloni nimechaguliwa kuingia chuo kikuu
Nilidhani maisha yamebadilika, na 'NIKIMALIZA TU CHUO' nitakuwa naendesha vogue la kijani, sitakaa niwe na mfugo kwangu maana nitakuwa na walinzi elfu.

Utu uzima ukanijibu hivi, you need to work hard kupata hayo, na ni process.

Ngoja tu umri uongezeke utaelewa.

 
kuna waliopata wenza humu humu kwenye mitandao......
na siku hizi idadi inaongezeka

inawezekana wapo but idadi yake ni ndogo kuliko wanaoingizwa mjini i guess!
 
Sasa tough girl,jamaa si kaona aisee?klaaaa...kuwa wataka mchunguza...ungemezea halafu umchunguze kimya kimya as umesema umemtolea humu JF ina maana possibility ya yeye kupita hapa ni kubwa!

Hahahaaaa... Tough boy.! Inawezekana jamaa mwenyewe ni wewe.. Mbona umeshtuka?? Hahahaa...
 
ana bahati kakutana na wewe mimi ningemtaja live kama nilivyomtaja yule aliyekuwa ananitongoza tongoza humu mimi nataja potelea mbali
 
Muhimu sio kutaja jina, la muhimu ni umakini mpendwa. Kuna matapeli wengi humu, kuna baadhi ya watu wana access na internet za bure hawana ya maana ya kufanya zaidi ni kufanya michezo michafu kama hii. Sasa tutakutajia wangapi?
Ok, lakini ungemtaja huyo uliyemwelezea hapa ingekuwa BUSARA zaidi. Kuhusu wengine hatuwahitaji maana wapo wengi, sisi tunataka huyu uliyemweka kwenye hii topic.
 
nashangaa sana mtu ambae anaponda wapenzi wa hapa,watu tumenyamaza tu ! sitaki maswali
pole sana
kwa nini mtu aseme mkewe amekufa jamani?
Smile i guess some one here hahaahahahha
 
Last edited by a moderator:
ana bahati kakutana na wewe mimi ningemtaja live kama nilivyomtaja yule aliyekuwa ananitongoza tongoza humu mimi nataja potelea mbali
Kufumbafumba mambo wakati mwingine huwa UONGO. Kama pana ukweli kwanini panafichwa jina???????????? Mshauri huyu mwenzio amtaje huyo aliyemkusudia humu kwenye thread.
 
hivi kumbe watu wanapata mzigo humuu,ngoja nami nianze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…