Aviero 25
Member
- Jan 15, 2022
- 29
- 61
Greeting 
Sijuw wew kama mim, kizaz kipya kilichobarikiwa kitu kikubwa tangu dunia kuanza (internet)..
Lakin natak kukuambia tu kuwa tunapokwenda ndo kugumu zaid ikiwa upo na mentality izo izo za wazee ambao ujanan kwao zilikuwa zinafunction vzr tu, ila kwa speed ya dunia kila siku zikienda rate of updating inakuwa na watu kuwa extra zaidi.
Vijan wengi hii kitu bado hawajaishtukia bado ni wavivu wa kucreate, kuthink about the life and everything on the future.
Ikiwa leo hii unahisi maisha ni magumu, nakuhakikishia yatakuja kuwa magumu zaidi in 2032.. kipind ambacho tutakuwa na wasomi wengi wenye masters, degree and diploma.
Lkn hutoweza kutofautisha kati y msomi na form 4 failure.
Tutakuw na makondakta wenye unafuu wa maisha kulik graduates
, ila ukwel usemw tu kuw hicho kipindi tayr tumesh kifikia, kipind ambacho mtu mwenye division 4 y form 4 ana duka la nguo ana maisha mazur kuliko degree holder, it's going to be worse than this.
Kipind hich thaman ya pesa itakuwa kama jani la muembe
tu.
Nakmbk 2012 naul student tsh150 sijuw saiv ni kias gan, nlijarib kuongea na mzee na kumuuliz kiwanja cha hii nyumba ulinunua kias gan amenmbia Tsh2,500 miak ya 2000 ap, thaman ya hii nyumba muda huu more than 80M, nafkir unashuhudia kw macho yako inflation inavyonyoosha watu at this time je 10 years from now itakuwaje
?
So usije kushangaa mtu analipia noti
kupanda daladala, usije kushangaa mtu kwenda na magunia 10 yenye noti

kununua kiwanja kidogo tu.
Kizaz chetu, tuliozaliw 2000 wote, kitakuwa tayar kimeshafikish umri wa kujitegemea, tutegemee kizaz cha OVYOOOO sana kuwahi kutokea duniani.
Uzinzi na umalaya utashamiri, ugumu wa maisha utakuwa mgumu zaidi ya unaouona sas yaan at all time high, wazazi na watoto wote like a zombie
.
Good finance and high economy itakuwa kwa watu wachache wanaojuw kuplay game in smart leo hii haw ndo wale wanaoonekan punguwan na kutokuwa na mbele wal nyuma na wale wanaovimba kw magar na vyomb vya kuazim muda huu wishes zitakuwa nyingi kupit maelez kwa kucheza na muda, walio ishi na fake life wote watakuwa hoi 10 years from now.
Kiufupi hapa ndo maji yatatoka na kujuwa nani kavaa nguo na nani yupo uchi.
Hustler watajulikan na fakers watadhalilika sana..
Lakin pia muhim zaid, in 10 years from now watu watapata uelewa kuwa wanasiasa ni takataka tu na watu wa ovyo kabs.
Watu wataanza kuelewa na kutia akilini kuwa you have take 100% responsibility in your life. Ila pia jambo la ksikitish ni kwamba most of people will have their parents gone
,
Kizaz cha wazee wetu kitaanza kufutika kidog kidog, tutabak vijan, the old Golden generation will perish, tutaangalia nyuma miaka 10 na kuappreciate vitu tulivyokuwa tunalaumu na kulalamika. Wengi watalia kwa kufanya upuuzi ila wachache watakula waliyoyapanda.
Be smart enough for invest in yourself
View attachment 2331588

Sijuw wew kama mim, kizaz kipya kilichobarikiwa kitu kikubwa tangu dunia kuanza (internet)..

Lakin natak kukuambia tu kuwa tunapokwenda ndo kugumu zaid ikiwa upo na mentality izo izo za wazee ambao ujanan kwao zilikuwa zinafunction vzr tu, ila kwa speed ya dunia kila siku zikienda rate of updating inakuwa na watu kuwa extra zaidi.
Vijan wengi hii kitu bado hawajaishtukia bado ni wavivu wa kucreate, kuthink about the life and everything on the future.
Ikiwa leo hii unahisi maisha ni magumu, nakuhakikishia yatakuja kuwa magumu zaidi in 2032.. kipind ambacho tutakuwa na wasomi wengi wenye masters, degree and diploma.
Lkn hutoweza kutofautisha kati y msomi na form 4 failure.
Tutakuw na makondakta wenye unafuu wa maisha kulik graduates
, ila ukwel usemw tu kuw hicho kipindi tayr tumesh kifikia, kipind ambacho mtu mwenye division 4 y form 4 ana duka la nguo ana maisha mazur kuliko degree holder, it's going to be worse than this.Kipind hich thaman ya pesa itakuwa kama jani la muembe
tu.Nakmbk 2012 naul student tsh150 sijuw saiv ni kias gan, nlijarib kuongea na mzee na kumuuliz kiwanja cha hii nyumba ulinunua kias gan amenmbia Tsh2,500 miak ya 2000 ap, thaman ya hii nyumba muda huu more than 80M, nafkir unashuhudia kw macho yako inflation inavyonyoosha watu at this time je 10 years from now itakuwaje
?So usije kushangaa mtu analipia noti
kupanda daladala, usije kushangaa mtu kwenda na magunia 10 yenye noti

kununua kiwanja kidogo tu.Kizaz chetu, tuliozaliw 2000 wote, kitakuwa tayar kimeshafikish umri wa kujitegemea, tutegemee kizaz cha OVYOOOO sana kuwahi kutokea duniani.
Uzinzi na umalaya utashamiri, ugumu wa maisha utakuwa mgumu zaidi ya unaouona sas yaan at all time high, wazazi na watoto wote like a zombie
.Good finance and high economy itakuwa kwa watu wachache wanaojuw kuplay game in smart leo hii haw ndo wale wanaoonekan punguwan na kutokuwa na mbele wal nyuma na wale wanaovimba kw magar na vyomb vya kuazim muda huu wishes zitakuwa nyingi kupit maelez kwa kucheza na muda, walio ishi na fake life wote watakuwa hoi 10 years from now.
Kiufupi hapa ndo maji yatatoka na kujuwa nani kavaa nguo na nani yupo uchi.
Hustler watajulikan na fakers watadhalilika sana..
Lakin pia muhim zaid, in 10 years from now watu watapata uelewa kuwa wanasiasa ni takataka tu na watu wa ovyo kabs.
Watu wataanza kuelewa na kutia akilini kuwa you have take 100% responsibility in your life. Ila pia jambo la ksikitish ni kwamba most of people will have their parents gone

,Kizaz cha wazee wetu kitaanza kufutika kidog kidog, tutabak vijan, the old Golden generation will perish, tutaangalia nyuma miaka 10 na kuappreciate vitu tulivyokuwa tunalaumu na kulalamika. Wengi watalia kwa kufanya upuuzi ila wachache watakula waliyoyapanda.
Be smart enough for invest in yourself
View attachment 2331588