Be Respected... Demand Respect.. Sept 20th, 2012

Be Respected... Demand Respect.. Sept 20th, 2012

150322_10151168275121156_48518508_n.jpg

Ushamba huo kulazimishana upuuzi.
Ukishadress ivo ndo iweje sasa., unataka kuniambia kuwa kunguru wa bara wanajirispekt automatikale?
 
je wewe MMM umevaa hivyo? au ndio kuangalia wangapi watafanya hivyo..
 
tutafika tu... I choose to be respected... wanaosema kuwa heshima inakuwa earned wanashindwa kuelewa kuwa mtumwa hawezi kupewa heshima... hata afanye vipi kuearn it.. mwisho wa siku inampasaa kuidai. Watawala wetu hawaheshimu wananchi... it is about time to show (this is just the beginning)... that we as citizens anywhere and everywhere we choose to be respected. Iwe na mfagizi wa ofisi au na waziri!!

Labda utufafanulie khs mantiki ya kudai heshima. Utakuwa na uhakika gani kuwa uliyemdai akuheshimu anakuheshimu kwa dhati?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom