TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,784
- 4,257
If you wouldn't?Fake till you make it !
At least you lived a day dream!If you wouldn't?
Wengine tumechagua kuishi uhalisia wetu Sawa na vipato vyetu,kuigiza tunavyo wakati hatuna hutunyima uhuru na amani ,ni bora ukatengwa sababu huna kuliko kujitenga sababu huna na unajifanya unacho.📌🔨Teknolojia inafanya kila mtu taarifa zake ziwepo bila kupenda katika mitandao.
Watu wengi wanaishi maisha ya kuigiza ufahari wakati hakuna uwiano na uhalisia,siku wakipata matatizo wanaamua kutafuta utambulisho mpya ili wasaidike.
Kuishi maisha yaliyo halisi ni amani na furqha kuliko kufake,maana maisha ya kufake yanakufanya uwe makini na uishi kwa Michale muda wote,na mata nyingi hata kukwepa kukutana na watu pale inapobidi ili kukwepa kugundulika.
Kama unamudu mihogo wewe kula,comfortably,kama una mudu daladala,ishi openly usijifanye mzee wa ndinga aghari wakati hata baby walker huna,being real is a source of peace in within.
Wengine tumechagua kuishi uhalisia wetu Sawa na vipato vyetu,kuigiza tunavyo wakati hatuna hutunyima uhuru na amani ,ni bora ukatengwa sababu huna kuliko kujitenga sababu huna na unajifanya unacho.
Be real utakuja pata madhara sababu ya ku-fake life.
Safi sana mkuu.Me naishi zangu Low key na Real life sio mtu wa mitandao kujipost sijui kufanya nini watu wanasema najiskia😂
Huyo Hana pesa ni masikini tu pesa wanayo wazazi wake sio yeye nyie mnaleta utani na pesaSafi sana mkuu.
Hii ipo kwa jamaa yangu iv ni wakishua hela ipo ila sio mtu wa mitandao kwa mwkaa unawez ona post nne tu. Na hata akiweka picha yake utajua tu PESA IPO.
Namshauri mbubujikwa machozi azingatie ushauri wako.Teknolojia inafanya kila mtu taarifa zake ziwepo bila kupenda katika mitandao.
Watu wengi wanaishi maisha ya kuigiza ufahari wakati hakuna uwiano na uhalisia,siku wakipata matatizo wanaamua kutafuta utambulisho mpya ili wasaidike.
Kuishi maisha yaliyo halisi ni amani na furqha kuliko kufake,maana maisha ya kufake yanakufanya uwe makini na uishi kwa Michale muda wote,na mata nyingi hata kukwepa kukutana na watu pale inapobidi ili kukwepa kugundulika.
Kama unamudu mihogo wewe kula,comfortably,kama una mudu daladala,ishi openly usijifanye mzee wa ndinga aghari wakati hata baby walker huna,being real is a source of peace in within.
Wengine tumechagua kuishi uhalisia wetu Sawa na vipato vyetu,kuigiza tunavyo wakati hatuna hutunyima uhuru na amani ,ni bora ukatengwa sababu huna kuliko kujitenga sababu huna na unajifanya unacho.
Be real utakuja pata madhara sababu ya ku-fake life.
Mkuu mimi ndio namfahamuHuyo Hana pesa ni masikini tu pesa wanayo wazazi wake sio yeye nyie mnaleta utani na pesa maana pesa kazi yake ni kutumiwa
Hana hela huyo masikini tu usilete bla bla hapa sio sehemu ya kufarijiana Kwa umasikiniMkuu mimi ndio namfahamu
Yes wazazi wake wako njema
Ila na yeye yuko na stream yake ana hela wala hategemei za wazazi.
Kwani mwenye hela yukoje au una m define vipi?Hana hela huyo masikini tu usilete bla bla hapa
Hata elfu 1000 nayo ni pesa pia hivyo siwezi kukushangaa ukisema anapesaKwani mwenye hela yukoje au una m define vipi?
Kibongo bongo uwe dollar ngap uhesabike una pesa 😂Hata elfu 1000 nayo ni pesa pia hivyo siwezi kukushangaa ukisema anapesa