Be like Jane

Jane is smart...yes, but its always better to be wise than smart
 
Ha haaa! Hiki kikatuni kimeshika kasi. Wadada wengi wanao approachi Thirties alafu mambo hayaeleweki wameki share kwenye fb wall zao wakijifariji na 'kuudanganya' umma kuwa wana r.ship za maana ila tu hawataki kuziweka public... Ni sheedah!
 
Wanapenda kutumia quotes balaa. Wakati hao wenyewe hawaishi uhalisia wa quotes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…