Hehe hii comment yko nataman nimtag mtu inamuhusuNdio hivyo mtu anafundisha ujasiliamali wakati mwenyewe ajafungua hata genge,
Anafundisha vitu ambavyo hata yeye mwenyewe haviamini.Ndio hivyo mtu anafundisha ujasiliamali wakati mwenyewe ajafungua hata genge,
Siku za hivi karibuni wameibuka watu mbalimbali wanaoitwa inspirational speakers ambao hutoa mihadhara sehemu mbalimbali ikiwemo mitandao ya kijamii.Sina ugomvi na watu hawa na ninaheshimu kazi yao, lakini unfortunately watu wengi hasa vijana wameingia katika mtego wa kujihisi wamechelewa sana kimaisha kutokana na maneno ya hawa jamaa, vijana wengi hasa vyuoni wanajiunga na biashara ambazo at times ni very impractical ili kuyaishi maneno ya hawa jamaa, they are finding mistakes in about everything you do and they are really trying to define life for you, at times they speak things that they can't even themselves can't do, they cause unnecessary depression and anxiety to their audience.
Be inspired but be cautious!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hojaSiku za hivi karibuni wameibuka watu mbalimbali wanaoitwa inspirational speakers ambao hutoa mihadhara sehemu mbalimbali ikiwemo mitandao ya kijamii.Sina ugomvi na watu hawa na ninaheshimu kazi yao, lakini unfortunately watu wengi hasa vijana wameingia katika mtego wa kujihisi wamechelewa sana kimaisha kutokana na maneno ya hawa jamaa, vijana wengi hasa vyuoni wanajiunga na biashara ambazo at times ni very impractical ili kuyaishi maneno ya hawa jamaa, they are finding mistakes in about everything you do and they are really trying to define life for you, at times they speak things that they can't even themselves can't do, they cause unnecessary depression and anxiety to their audience.
Be inspired but be cautious!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi piaSINAGA MUDA WA KUWASIKILIZA MIMI! NIKISOMA VITABU VYA NAPOLEON, OG MANDINO, ROBERT KIYOSAKI MAMBO YANAENDA TU! NAPOLEON AMEBADILI MTAZAMO WANGU WA KUFIKIRI KUHUSU MAISHA NA MAFANIKIO!
NakaziaMotivation speakers nao ni wasaka tonge tuu
Kitabu gani mkuu share nasi hapa tufaidike.SINAGA MUDA WA KUWASIKILIZA MIMI! NIKISOMA VITABU VYA NAPOLEON, OG MANDINO, ROBERT KIYOSAKI MAMBO YANAENDA TU! NAPOLEON AMEBADILI MTAZAMO WANGU WA KUFIKIRI KUHUSU MAISHA NA MAFANIKIO!
Inawahusu watu wengi sanaHehe hii comment yko nataman nimtag mtu inamuhusu