Heshima Mkuu, BAK .
Umeniongezea kitu, Everyone has a story in life.Pia katika Intelligence nilijifunza kitu kuwa humility ndiyo kil kitu hapa duniani.Pasipo unyenyekevu hatuwezi kujifunza lolote.
Hata humu JF hili linatushinda sana.Licha ya kuwa nyuma ya miamvuli ya Majina feki lakini bado hatuna unyenyekevu, ustaarabu nk.In short, kila mtu ni mjuaji humu jambo ambalo si kweli.Unaweza kuwa mjuaji Katika biashara then katika Utabibu hujui lolote, the same katika Majukwaa mengine.
Thanks for lesson.