Be classic, be flawless, have standards, usikurupuke

ONTARIO

JF-Expert Member
Oct 16, 2013
1,885
17,018
Hi JF,

IT'S CALLED HIGHLY PURE CLASS CLASSIC 1 STANDARDS, VIWANGO.

Niadmit wazi, heartdly hapa MMU kuwa nilikua m1 wa wafuasi wengi wa ndg. E. N. Lowassa. Mimi na wafuasi wengi tulikuwa na expectations kubwa sana juu ya EL na uraisi, media pia, upinzani pia, chama tawala pia, wachambuzi wa siasa, nahisi hata yeye pia, had big expectations.

Watu wengi kwenye jamii tulitegemea kuona CCM ikimsimamisha ndg. EL kupeperusha bendera yao ya uraisi, 2015. ndugu EL kajinoa kwa muda mrefu sana, tangu '95, kakubali kufanya kila awezalo, katumia nguvu nyingi, katumia pesa nyingi, katumia emotions nyingi, katumia mbinu nyingi, katumia muda mwingi, kakubali atukanywe, achafuliwe, adhalilishwe, lakini yeye alijitahidi kufanya kila awezalo ili jina lake liwe safi na akubalike katiki jamii ya waTZ

Kwa kiasi fulani alifanikiwa katika hilo. Atleast 65%.Matokeo ya mwisho, maamuzi ya mwisho ndio yamenifanya niandike hili bandiko, jina la E.L lilikatwa asubui saa11 hata jogoo hajaamka, hakuna aliyetegemea tena CC ya chama chake pendwa, kikiongozwa na best yake wa karibu kbs JK walikata jina bila huruma, macho makavuu, mekundu tena hata bila kupepesea jicho wala neno, hata top 5 hakuionja.

Nimeumia sana, wafuasi wameumia sana, watu wameumia sana media, wachambuzi, kila mtu butwaa.Wafuasi ma100 kwa ma100 wametumia nguvu nyingi kuishinikiza CC ya chama kurudisha jina la EL lakini wapi, tumefedheheka sana, tumejeruhika sana, tumesononeka pia. Kama mimi nimeumia hivi, na watu wengi wamesononeka vile, je yeye EL ����?

Tulitegemea atoe tamko (kali sana), atoe hisia na malalamiko yake juu ya uteuzi wa mgombea uraisi kupitia chama chake, na lastly atoe maamuzi magumu sana. Coz tayari kashapoteza vitu vingi -kilakitu, hana kingine cha kupoteza.Lakini cha kushangaza Lowasaa katulia, kanyamaza kimya, hajazungumza hata thumni ya neno, hajahoji kitu, hajachukua hatua yoyote (at first) yani kama hakijatokea kitu, imefika hatua hata watu wanamshinikiza aseme lolote.
Lakini kanyamaza tuli kimya.

Tunajifunza nini?
It's politics but we can turn it to real life.

Unaweza ukawekeza sana sana sana kwenye biashara yako, ukatumia muda, pesa, nguvu, yani ukatumia kilakitu, ukawa na expectations kubwa sana, watu pia wakawa na expectations kwako. At last biashara ikabuma, safari ya matumaini ikaishiwa mafuta, ukapoteza kilakitu, ukadhalilika asubui saa11, usiambulie hata top5. Be puee classic like Lowassa, usikurupuke, usitukane, usi, be patient, tulia, tuliza kichwa, dont take st*pid actions.
take time. Like EL.

Kwenye mapenzi vile vile.Unaweza Ukawekeza kilakitu,nguvu, pesa, resources, ukarisk vitu vingi, hisia kilakitu, atlast mpenzi wako akakuumiza, akakufedhehesha, ukakujeruhi moyoni asubui saa11, usiambulie ata top5.

BE PURE CLASSIC LIKE EL Be FLAWLESS, have CLASSIC STANDARDS
Kwenye elimu
Kwenye afya
Kwenye urafiki
Kwenye maisha
Kwenye imani
Kwenye uchumi

BE PURE, BE CLASSIC, BE ELEGANT, BE SMART, BE FLAWLESS USIKURUPUKE
 
here we go again... hapo mwisho kwenye mapenz ndugu umegusa vyema..na tukumbuke siye kila utakayemuamin kuanza naye katika safari ya matumain ya mahusiano ndo utakayefika naye mwisho..jijenge kisaikologia kuendana nalo...fact..fact..fact..
 
Bora umenisaidia da' charty
 
Last edited by a moderator:
Samahani, Umeelewa theme lkn??

Labda nikuulize wewe,umeelewa ulichokiandika?

Kuonesha haupo serious huwezi kuandika "classic 1",mara "classic",mara "class" etc in the same line,kuonesha unafanya useless multi entrants...

Ukicheck context vizuri,ni muendelezo wa kua cry baby kama the rest of Lowassa cheerleaders....

Kukuelewa??Naona ume-launch barrage ya paragraphs za u being sarcastic on Lowassa defeat....either way,mta-pull lotta stunts,ila your guy Lowassa is gone,deal with it people!
 
See that cr*p you're typing dude...
My mouth comes with a mute button, never do I comeback for d*mbass insults... Pumzika mkuu.
 
Unajuwa Kama nimekuelewa unatolea mfano suala la lowassa kukatwa kama mfano halisi wa kitu kilichotokea katika maisha.ukweli ni kwamba mambo yote yaliyokuwa yanafanywa Na lowasa Ni fiction Na hata yeye anajuwa hilo.sisi wengine suala la kukatwa kwa lowasa halikuwa geni hata lowasa mwenyewe alijuwa kuwa atakatwa.kutokana Na mazingaombwe yake aliyokuwa anayafanya. Kama ulikuwa mfuatiliaji wa mikutano yake nadhani umemsikia Mara kadhaa akisema kwamba watamkata.ni kwa sababu alijuwa anafanya makosa.cha kujifunza kwa lowasasa Ni kwamba pesa Si kila kitu. Lowassa alileta dharau kwa Chama chake Na akajiamini kwa sababu ya pesa.nikweli pesa ilimjengea umaarufu Sana kiasi kwamba wananchi wengi wakaamini kabisa kwamba huyu ndiomwenyewe kumbe Ni kipande cha chupa Na Si dhahabu. lakini kwa tuliokuwa tunajuwa mchezo anaoucheza haikutusumbuwa tulijuwa atakatwa saa 11 kabla jogoo hajawika.
 
Labda nikuulize wewe,umeelewa ulichokiandika?

Kuonesha haupo serious huwezi kuandika "classic 1",mara "classic",mara "class" etc in the same line,kuonesha unafanya useless multi entrants...

Ukicheck context vizuri,ni muendelezo wa kua cry baby kama the rest of Lowassa cheerleaders....

Kukuelewa??Naona ume-launch barrage ya paragraphs za u being sarcastic on Lowassa defeat....either way,mta-pull lotta stunts,ila your guy Lowassa is gone,deal with it people!

Samahani, umemuelewa mleta mada?
 
Back
Top Bottom