Haha mama sipitwi mimi
Nini kinajiri kipande hii?
StandardsNilihisi ndio zenu, Standards.
Soma mamaNini kinajiri kipande hii?
Nimesoma mama. Kwakweli ni ujumbe murua japo hilo jina ndio limenivuruga.Standards![]()
![]()
![]()
Soma mama
Nini kinajiri kipande hii?
Nimesoma mama. Kwakweli ni ujumbe murua japo hilo jina ndio limenivuruga.
Ya nini kuanza kulaani dunia nzima!! Hujui nini umeepushwa nacho,just say thank you and move on with positive mind. No regrets kwakweli.
Mungu anatuwazia mema alwaysNimesoma mama. Kwakweli ni ujumbe murua japo hilo jina ndio limenivuruga.
Ya nini kuanza kulaani dunia nzima!! Hujui nini umeepushwa nacho,just say thank you and move on with positive mind. No regrets kwakweli.
Mungu anatuwazia mema always
"Be grateful for everything and just have the right perspective always. When one door closes, another one opens for u and what was meant for your harm, God will use it to your advantage". [HASHTAG]#noregrets[/HASHTAG] #
Mungu anatuwazia mema always
Just do your part(flawlessly)and leave the rest for Him.Uko wapi Fanya hima niokoe,.
Uko wapi ee Mungu wangu,..I love that song,
On point dearestJust do your part(flawlessly)and leave the rest for him.
Uko wapi eh Mungu wangu ,
Uko wapi njoo uniokoe x2
Mawimbi yanataka kuniangamiza,
Misukosuko yaniandama,
Dhoruba na majaribu havikomi kwangu,
Uko wapi fanya hima niokoe,x2
Uko wapi eh bwana ,
Uko wapi mbona ni kama umeniacha,
Usifiche uso wako eh bwana,
Usifiche uso nipone kwa rehema,
Mwili huu wa nyama,
Unachoka peke yangu sitaweza,x2
Nimegubikwa wimbi la huzuni na mawazo,
Amani kwangu ni kama ndoto,
Ole wangu nikifurahi siku moja,
siku sita nitalia wiki ipite,
Magumu yangu nikisimulia kwa ndugu zangu,
Waniambia utajijua na Mungu wako,
Nikielezea magumu yangu kwa wapendwa,
waniambia tumechoka kukufariji,
wakati mwingine natamani heri nife,
Kuliko kuishi ninyanyasike hivi x2
Uko wapi eh Mungu wa Eliya,
Uko wapi eh Mungu wa Ibrahim,
Uko wapi eh Mungu wa Isaka,
Elshadai fanya hima uniokoe,
Uko wapi eh bwana ,
Uko wapi mbona ni kama umeniacha,
Usifiche uso wako eh bwana,
Usifiche uso nipone kwa rehema,
Mwili huu wa nyama,
unachoka peke Yangu sitaweza,x2
Nina neno juu yako eh mpendwa,
Usilie kwa magumu uliyonayo,
Usitazame jaribu ulilonalo,
Inua macho msalabani umtazame Yesu,
Japo ndugu wakikutega na kukuacha,
Uesu atakukumbatia,majaribu ipo siku yatakoma,
utasahau shida zote ulizopata x2
Acha kabisa, hako kawimbo ukiwa na majaribu kanakufaa sana mmhOn point napenda apo Mwili huu wa nyama,
unachoka peke Yangu sitaweza,x2 daaah we mkaliiii!!!
Acha kabisa, hako kawimbo ukiwa na majaribu kanakufaa sana mmh
Haha Yani unaweza ukakufuru aiseeHatari sana sijui watu wanafikilia nn "ole wangu nikifurai cku moja,siku sita nitalia week ipite" ..haha,aseeh hatari!..elishadai