Bbm vs wasup

Am so out of date mimi najua facebook, twitter, yahoo, sms na skype. Hayo mengine ni marue rue tu kwangu!!!
 
whats App for lyf ppo
 

Attachments

  • 203528_300323509996325_1457877991_q.jpg
    1 KB · Views: 85
Disadvantage kubwa ya bbm ni kwamba unahitaji blackberry ili uweze kutumia. Whatsup and the like zinafanya kazi kwenye platform mbalimbali. Hivyo kwangu mimi nafikiri badala ya kulinganisha apps kama bbm na whatsup tungelinganisha platforms kama bb, android, iOs, Windows mobile etc. Mimi chaguo langu ni Android. Kwa sababu not only ni open source lakini pia ina apps nyingi kukiko any other platform. Ukiwa na simu yenye android huna kikwazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…