Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
Pamoja kiongozi ni mwendo wa kazi tu.mi ndo nipo langoni na rungu nahakikisha usalama
turudi saloon tunyoe raia bhanaPamoja kiongozi ni mwendo wa kazi tu.
Nalog off
Twendezetu tukale vichwa.turudi saloon tunyoe raia bhana
Nitafute nikuvushe barabara sis charmingladyMashikolo....
na mie naomba yako........
Yani nikipata yako nitafurahije!
nakupendajemie nna nitochi tu hapa.......
nakupendaje
kwa sababu ya avatarkwa sababu ya tochi yangu
kwa sababu ya avatar
Nimekumiss pia, beibe nasty
Hebu njoo kule kwenye lounge.. .unipe maelekezo kuntuu
Jaman nifanyaje na mm niweze kudownload BBM kwenye android phone yangu..mana na I search siipat