Jioni hii BBC wamemsusa dr Slaa hawajatangaza chochote kuhusu yeye. Wameokoteza vitu vya ajabu ajabu ambavyo havina mvuto kufananisha na jinsi Slaa alivyoteka tz Leo
wako ktk mchakato wa uchakachuaji ambao nchi kubwa tajiri inasaidiana na CCM. Wataaibika mwaka huu hata wasitangaze ataapishwa bila kupenda maana hagombei urais wa BBC anagombea urais wa Tanzania
Hayo ndo yanadhihirisha ukweli kuwa mwenye nacho huongezewa, na asiye nacho hupokonywa alicho nacho. Lakini hapo BBC wamechemsha maana Slaa ana watu kibao walioko makini. Kutomtangaza kwao sio issue sana.
Unajua haya ni mambo yenye mwelekeo wa kifisadi tu! Fisadi akikalia kiti huwa hali peke yake maana huwagawia na wenzake ili wafurahi pamoja. BBC kuna Watz wengi. Baada ya kuona Tido amestaafu na akapewa kazi wanajua nao wakistaafu watapata maana wanahisi hiyo ni mali ya akina Ridhiwani na akina Miraji
mwanzo nilikuwa siamini kuwa baadhi yetu hapa JF tunapenda uzushi, haya mnayoyasema ni kujifurahisha au mna uhakika nayo? sikilizeni matangazo kwanza muone CHADEMA na Slaa wamesikika mara ngapi kabla ya kugombana na keyboard zenu. Dr Slaa kapewa over 30 minutes siku ya Alhamisi, zaidi ya hapo mnataka nini tena? Namna hii tunadharaulika.
Hata kama BBC wasipomtangaza Slaa sisi tumeshamtangaza Slaa kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Baraza lake la mawaziri lenye watu makini tayari. Kazi kwenu vibaraka wa BBC, Si unajua tea wakiwa kule waliko wanajidai kujiunga umoja wa ccm. Mh. Mwanaid Maajar alihakikisha ameweka matawi ya CCM imara kule. After all hao hawapigi kura jumapili, sasa wasitishe lolote.
President Kikwete is tipped to win another term in office in these elections, but with a smaller margin than the 80% he scored last time round-:smile-big: Habari ndio hiyo
ivi tido kama dr.slaa au lipumba watashinda, ataenda wapi, atakimbia nchi, manake atakuwa hana kazi. pia, mafisadi watakimbilia wapi...sipati picha.. ni sawa na unakutana na mtu barabarani kipindi mkeo ana mimba, unamtukana na kumpiga vibao kabisa, wiki inayofuata mkeo kashikwa na uchungu unenda hospitali mkeo anahitaji upasuaji, unashangaa yule mtu uliyempiga kibao ndo dr wa mkeo, na ndo atakayefanya kila kitu juu ya mkeo...bila shaka unaweza kujikuta umenyong'onyea kam auyoga uliopigwa na jua....
Kama hamjui sababu kumbuka walivyofanya Zimbabwe!!!!!!! Uchaguzi waliulipotia mpakani mwa SA!!!!!!!!! Eric ameshwekwa rumande mara ngapi????? hawajipendi nini?????????? Hawa ni Wakenya (Kasoro Charles) walishaumwa na nyoka!!!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.