MpigfilimbiwaHamelin
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 652
- 169
- Thread starter
- #21
Hukupaswa kufurahia makosa, kila mtu anakosea kiufundi ama kiutendaji
unajua kila siku tumaumia kuona watangazaji wetu local wakivurunda, na huna jinsi ya kuwarekebisha, sasa ikiwa BBC nao..... si tunajitoa machungu mkuu?