bbc swahili yakosa heshima

mixx

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
1,272
7,974
CmD9JyeWIAM6RhI.jpg
 
Inaonesha siku hizi wameajiri wazungu tu wanaomwaga ung'eng'e, inawalazimu kutumia google kutranslate habari.
 
hao ndo tunawaita ma cartel huku Kenya. . . mafisadi wenye nguvu na uwezo na influence...... alafu nadhani huwa wanajuana kama wanachama vile...hao watu hua na uwezo wa kupindua serikali ama kusmamisha serikali ikienda kinyume na matakwa yao.... hao watu hufanya kazi zao behind the scenes, hautawai waona kwa habari au magazetini ... hawaezi angushwa hivi hivi...ukitaka kuwaangusha enda kimia kimia (e.g kutumia watu wa intelligence -tena ikiwapata tulia kwanza, make sure umewapata wote ili badala ya kushika mmja mmoja, unawashika wote kwa mda mmoja ili wasisaidiane) usiwafywate kimabavu na nguvu, wanaeza vuruga setikali yako hautaamini
 
heshima ipi iliyovunjwa hapo? wao wameeleza kutoka kwenye source inayofahamika. Mimi nafikiri sisi tusikimbilie kukanusha ikulu inamsemaji ambaye atatuambia kama ni kweli ama sio.
 
Typing errors ni jambo la kawaida ukizingatia vyombo vingi vimewezeshwa kuwa na auto correct. Aidha BBC Swahili ni mabingwa wa typing errors nimejionea mwenye mara kadhaa inabidi walifanyie Kazi hili
 
hao ndo tunawaita ma cartel huku Kenya. . . mafisadi wenye nguvu na uwezo na influence...... alafu nadhani huwa wanajuana kama wanachama vile...hao watu hua na uwezo wa kupindua serikali ama kusmamisha serikali ikienda kinyume na matakwa yao.... hao watu hufanya kazi zao behind the scenes, hautawai waona kwa habari au magazetini ... hawaezi angushwa hivi hivi...ukitaka kuwaangusha enda kimia kimia (e.g kutumia watu wa intelligence -tena ikiwapata tulia kwanza, make sure umewapata wote ili badala ya kushika mmja mmoja, unawashika wote kwa mda mmoja ili wasisaidiane) usiwafywate kimabavu na nguvu, wanaeza vuruga setikali yako hautaamini
Huyu sasa ndiyo kaandika kiswahili kilicho vunjika vunjika
Bufa
[URL='https://www.jamiiforums.com/members/geza-ulole.19620/']Geza Ulole

[/URL]
 
Hata Mimi cjarada

MiTZ inaringa kujua Kiswahili lakini kwa preservation of the language hawamo hata

No festivals....

Hata alie andikia Microsoft Google na Oxford swahili translation mkenya bado
Hii topic haina hata maana yani. Mi nilicome hapa na mbio nikishindwa kwani hao BBC wamedoo nini? Wameshow mprezzo wa watu ka ako ndethee nini? Kumbe ni hizi tupuzi tu!
 
Kwenu hata kutaja jina la mkulu wenu leo hii ni hatari, lakini sidhani kama mnaweza kuwazuia hadi hata BBC.
 
Ndiyo ni hatari kwa sababu kumtajataja kunampotezea muda jembe letu, maana yeye kazi yake ni moja tu.... yaani kunyosha kwa rula. Huku sasa hivi kila kitu shwaari kabisa ukienda ofisi ya serikali hakuna kusema sijui njoo kesho mambo mswano tuuu.

Na nyie jaribuni kumpa kiti Raila mtaona jinsi atakavyonyoosha mambo. hamna cha sijui Lord Dalameira (sijui hata kama nimepatia jina lake) anauwa waafika wazawa halafu anasingizia alifikiri ni nguruwe ... halafu anaachiwa. kirahisi tu...
 
Tuliishi maisha ya namna hiyo ya uwoga uwoga miaka ya hapo awali na nashukuru Mungu huko tulitoka.
Utawala wa sheria ndio jambo la msingi siku zote. Taasisi zinaongozwa na utawala wa sheria na sio mihemko na ubabe wa mtu mmoja, akimka hivi mnaenda hivi, akiamka vile mnakwenda vile, ni hatari.
 
Back
Top Bottom