Kweli kabisa mkuu. Hivi Chama Omar Matata kastaafu kimya kimya au amebadilishiwa kazi? Siku hizi hasikiki kabisa.Kigara eee! Amka na BBC, Kinshasha eeh! Amka na BBC kwa masafa mafupi na ....
BBC ya enzi hizo asikwambie mtu.Ilisheheni manguli wa habari. Lubunga Byaombe (DRC) Tido Mhando, Suzan Mongi, Mariam Omary, Aisha Yahaya, Chama Omary Matata, Greipo Mbea (Mtaalamu wa mashairi), Iddy Seif, Zuena Seif, Suluma Kasimu, Ali Salehe, Ali Mutasa (Mtaalamu wa uchumi), Abdalah Majura,( Michezo). Baadae wakaja akina Hasan Mhelela, Salim Kikeke, Charles Hilal. I surely miss those ancient beautiful days.
Kwa majina ya hapo juu ndio tufahamu kuwa dini sio tatizo katika ufanyaji kazi kama tunavyoaminishwa katika vyumba vya ibada kuwa wale hawafai but sisi ndio kila kitu.Kigara eee! Amka na BBC, Kinshasha eeh! Amka na BBC kwa masafa mafupi na ....
BBC ya enzi hizo asikwambie mtu.Ilisheheni manguli wa habari. Lubunga Byaombe (DRC) Tido Mhando, Suzan Mongi, Mariam Omary, Aisha Yahaya, Chama Omary Matata, Greipo Mbea (Mtaalamu wa mashairi), Iddy Seif, Zuena Seif, Suluma Kasimu, Ali Salehe, Ali Mutasa (Mtaalamu wa uchumi), Abdalah Majura,( Michezo). Baadae wakaja akina Hasan Mhelela, Salim Kikeke, Charles Hilal. I surely miss those ancient beautiful days.
Niko form one mwaka 1996 namuuliza jamaa yangu big wa class unaitwa Nani? Ananiambia lubunga byaombe mamaeeeeKigara eee! Amka na BBC, Kinshasha eeh! Amka na BBC kwa masafa mafupi na ....
BBC ya enzi hizo asikwambie mtu.Ilisheheni manguli wa habari. Lubunga Byaombe (DRC) Tido Mhando, Suzan Mongi, Mariam Omary, Aisha Yahaya, Chama Omary Matata, Greipo Mbea (Mtaalamu wa mashairi), Iddy Seif, Zuena Seif, Suluma Kasimu, Ali Salehe, Ali Mutasa (Mtaalamu wa uchumi), Abdalah Majura,( Michezo). Baadae wakaja akina Hasan Mhelela, Salim Kikeke, Charles Hilal. I surely miss those ancient beautiful days.
Usichanganye voa na bbcVipi mkamiti kibayasi marry mgawe bado wapo?
Sure!Kigara eee! Amka na BBC, Kinshasha eeh! Amka na BBC kwa masafa mafupi na ....
BBC ya enzi hizo asikwambie mtu.Ilisheheni manguli wa habari. Lubunga Byaombe (DRC) Tido Mhando, Suzan Mongi, Mariam Omary, Aisha Yahaya, Chama Omary Matata, Greipo Mbea (Mtaalamu wa mashairi), Iddy Seif, Zuena Seif, Suluma Kasimu, Ali Salehe, Ali Mutasa (Mtaalamu wa uchumi), Abdalah Majura,( Michezo). Baadae wakaja akina Hasan Mhelela, Salim Kikeke, Charles Hilal. I surely miss those ancient beautiful days.
Kuna yule mama ana sauti nzito kama ya kiume.... alitoka IPP akaenda BBC. Alikuwa anasoma taarifa ya habari siku za jumamosi mechi ikiwa inatangazwa.