Africa one
JF-Expert Member
- May 6, 2013
- 244
- 111
Yaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi?
Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!
Ya kenya nayo inashuka ukilinganisha na dola na paundi kwa nini hawasemi? Kipindi hiki cha uchaguzi BBC wanatumika na Lowasa kuponda serikali.tunawajua.Washapokea mshiko
wewe hujiulizi twiga alipandaje ndege na urefu wake ule unashangazwa na BBC kusema pesa yetu imeshuka. Nyie kweli mmeleweshwa na mahaba mazito. Hamsikii la muhazini wala shehe msikitini mmenogewaYaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi?
Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!
kwa hiyo hata ukujinyea usifiwe tu .. watu wa aina yako ndiyo wameifikisha Tanzania hapa ilipoYaani kila mifano ya ovyo ni Tanzania tu? Katika News report yao usiku huu wanatoa mifano ya sarafu zilizoporomoka na haraka wamekimbilia kutoa mfano wa shilingi ya Tanzania. Ni nini ninyi?
Tumewachoka sana kutudhalilisha kila siku! Kila jambo jema mnakimbilia Kenya. Mnatuudhi sana sana msione tumenyamaza!
Asante k-boko.hata mm wananikera sana.naona kuna upungufu bbc, wako biased sana kwa sababu katika matangazo yao ya ukanda wa maziwa makuu, kiasi kikubwa ni habari za kenya na ni kila siku.hata ukija kwenye coverage ya uchaguzi wetu ni kama hakunakinachoripotiwa.labda kwa sababu watangazaji wao wengi ni wakenya!
Kwa sasa deutsche welle wana coverage nzuri ya habari za maziwa makuu na africa lkn sio bbc swahili.
May b kuna haja ya kuna wa watangazaji wengi zaidi watanzania kwenye vyombo hivi vya kimataifa la sivyo tutapotezwa!
Kweli inaboa,hao wengine vp hawana baya yao yote mazuri?.Mleta mada big up kwa kuliona hilo na kulikemea.Wajinga kila kitu wanaona ni siasa tu.
Nashangaa Kikeke anafanya nini huko.
Washenzi hawa wakenya,bbc swahili wameifanya kijiwe,na kupendelea kenya,wakati mie naona wasikilizaji wengi wapo Tanzania,na baadhi ya watanzania waliopo bbc ni kama mananga,hawana uzalendo,yaani wakenya wasiojua hata kiswahili ndo wanawaburuza kwa kupendelea habari za kenya,kweli mkuu wanakera sana.