BBC Swahili Tumewachoka!

Nashangaa sisi watz tuna matatizo sana, eti tusifiwe hata kama utendaji wetu ni mbovu kabisa ukilinganisha na wengine.

Hatupendi kukosolewa tunajiona tuko sahihi.

Simply hamia huko kama unadhani nchi yako haina maana! Elewa; hakuna aliyekataa kukosolewa. Lakini ikizidi unagundua kuwa huko sio kukosolewa tu bali kuna ajenda ya ziada. Tanzania ndio nchi yangu; I will stand by it, whatever it takes!!
 

Natamani nikuporomoshee matusi ya nguoni wewe Kalulu kutokana na lugha yako chafu, lakini nachelea kufanya hivyo--coz najua humu JF wapo walioelimika kiukweli--hawatagundua nani ni mjinga na asiyeelimika kati yetu. Huu sio unyonge, ni busara tu!
 
Hivi BBC wanachosema ni uongo? Si kweli kwamba shilingi inaporomoka kila siku? Tanapaswa kuchagua UKAWA ili tuiinue shilingi yetu. Tuache ujinga, waache BBC waseme ukweli.Wenzetu Kenya wapo kwenye uchumi wa kati wakati sisi hata elimu haieleweki kama iko katika kiwango cha kimataifa au cha kitaifa.
 

Unahamia huko lini mzee ili tukuelewe?
 

Ukishatumbukiza mambo ya UKAWA umeshajitenga na hoja hii! Kila saa watu wengine ni UKAWA ni CCM, utadhani wamechanganyikiwa! Please jaribu kufikiri nje ya box angalau kidogotu!
 
Nashangaa sisi watz tuna matatizo sana, eti tusifiwe hata kama utendaji wetu ni mbovu kabisa ukilinganisha na wengine.

Hatupendi kukosolewa tunajiona tuko sahihi.

Anyejidharau mwenyewe kila siku atabaki mnyonge tu! Sio kweli kwamba kila kitu Tanzania ni ovyo na sio kila kitu Kenya ni kizuri. Msitupotoshe hapa, tuna akili mazee!
 

Binafsi sina haja ya kuelimishwa na wewe coz najua hujui kitu unakurupuka tu! Nisingekujibu kabisa kwa sababu nimekugundua ni kopo tupu. Ila nimekujibu kutokana na sentensi yako ya kwanza tu, ambayo inaonyesha wewe ni mtu wa aina gani! Mimi sio saizi yako--period!
 

Why unasema MNATUUDHI SANA? Wewe na nani wakati thread umeanzisha mwenyewe? Kama ulifanya ka research na kuuliza watu kadhaa na wakawa na same observations sawa. Mwisho ukweli unakuweka huru irrespective of who said it.
 

the fact kwamba ulitumia muda wako kusoma response yangu na tena kuijibu ni kwamba ilikugusa na umegundua kiwango cha upumbavu ulio nao....

baina ya nlichokiandika kwenye uzi wako wa kijinga na upuuzi uliojibu, kila mwenye akili timamu anaweza kugundua nani ni kopo...

kwamba huhitaji kujifunza kwangu ni namna nyingine wapumbavu huwa wana react pale wanapoguswa...mtu mwenye akili timamu siku zote huwa tayari kujifunza kwa unayemjua, usiyemjua, mdogo, mkubwa....mwerevu anaangalia content siyo sura ya mtu lakini mpumbavu anaangalia sura...

uzuri ni kuwa hunijui wala sikujui kwa hiyo sihitaji kuwa size yako...besides, sihitaji kulinganishwa na mpumbavu khalas!
 
Mkuu kubali tu kuwa maada uliyo ianzisha hukujua ni pana kiasi gani.
 

Mkuu, kumbuka kuna BBC Dar. Akina Regina mziwanda ni watanzania wale.
 
Ukilalamika bbc kwa kukueleza ukweli ni kujidsnganya Leo tsh sh ndio inathaman ndogo hata Burundi wasio ns kitu hela yao iko juu ni Uganda tu tumewaxidi pekee na muda si mrefu itakuwa juu
 
Kweli inaboa,hao wengine vp hawana baya yao yote mazuri?.Mleta mada big up kwa kuliona hilo na kulikemea.Wajinga kila kitu wanaona ni siasa tu.
 

Lazima utakuwa ni gamba fulani ndio maana haupendi kusikia ukweli hasa muda huu wa usajili
 
Hakika wewe ni mjinga kweli yaani unataka watoe mfano gani mzuri Kwa Tanzania. Yaani kuna mijitu sijui ina akili za kuku, yaani mimi hupata shida kuelewa posts za kijinga km hii. Wewe zero kichwani kabisa.

mifano mizuri ni baada ya ccm kukaa pemben vinginevyo itakuwa ni ndoto na kulaumiana bure
 
Ndo ukweli wala usikasirike.
Mfn:
Mauaji ya Albino
Ujangili
Sarafu

Mifano dhahiri ni Tanzania
 
Ukilalamika bbc kwa kukueleza ukweli ni kujidsnganya Leo tsh sh ndio inathaman ndogo hata Burundi wasio ns kitu hela yao iko juu ni Uganda tu tumewaxidi pekee na muda si mrefu itakuwa juu

Huyu mtoa mada hajatathmini hayo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…