BBC: Palestinian Terrorists Smuggle Sperm Out of Prison...

BBC: Palestinian Terrorists Smuggle Sperm Out of Prison...

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
Just a few seconds old, but already strong of voice, Muhannad Ziben did not sound best pleased as a midwife, gripping him by the ankle, hoisted him above his mother and snipped the umbilical chord.
He was born in Nablus's al-Arabia hospital in August last year.

Within a few hours he looked more comfortable, snoozing in the arms of his mother Dallal. The father though was absent.
Ammar Ziben is serving 32 life sentences in an Israeli prison for his involvement in bomb attacks in Jerusalem in 1997.

Dallal says she was able to get pregnant using her husband's sperm, which was smuggled out from inside the jail.

"Muhannad is a gift from God," Dallal told the BBC at the time. "But my happiness is not complete without my husband here beside me."
Dallal's case received widespread media attention.

Since then, the BBC has spoken to two fertility doctors in the West Bank who say there are now around 10 Palestinian women who have become pregnant using sperm smuggled out of Israeli jails.

"Honestly, I don't know how they do it and I don't want to know how they do it," says Dr Salem Abu Khaizaran, one of the fertility doctors who has been helping the women.

"I don't want to get into the politics. I am doing it for humanitarian reasons only, just to help these women. Everyone gives a lot of attention to the prisoners, but these women really suffer a lot."

More of the news BBC News - Palestinians born 'from prisoners' smuggled sperm'
 
We Nasi Babi una uzima lakini katika kichwa chako???

Hawa watu ni waume kwa wake zao, kuna ubaya gani kupata kizazi namna hii. Nini uaharamu wake. Inaoneka wewe huijui ipi haramu (dhambi) na ipi halali (thawabu).

Kama huku kujaribu kuleta habari yenye issue rahisi lakini iliyozongwazongwa kw makusudi ili iwe very complicated na yenye twists and turns kiasi cha kutoweza kujibika, basi kwa kifupi ni hivi:

1. Hao watu wamefungwa kinyume na uhalali na haki za kibinadamu

2. Neno "smuggle" ambalo limechomekwa hapa halina maana isipokuwa ni kule kujaribu kusema kuwa kuwekwa jela =halali na wao kutuma mbegu za kizazi kwa wake zao wa halali ni "smuggle" yaani sio halali. Huu ni upuuzi, yaani "oxymorom rhetoric". Ukweli ni kwamba

- Kuwekwa jela ni haramu,kama alivyowekwa Mandela wakati ule, kwa maana wako vitani dhidi ya wadhalimu waZayuni wanaosaidiwa na wenye nguvu wa Magharibi na walio-kuwa brainwash mpaka baadhi yao humu jamvini kama Nasi Babi.

- Kutumia njia yeyote possible na halali na kama hivi wanavyofanikiwa katika kuendeleza kizazi cha halali kutokana na wake zao wa halali, ni HALALI isipokuwa kwa wasiojuwa halali kama Nasi Babi. Vile vile hii ni kuzishinda moja kati ya njama za waZayuni na waMagharibi zenye lengo la kuhakikisha kwamba waPalestina hawazaani na population yao ipungue mapaka wamalizike. Mwenyezi Mungu anawajaalia waPalestina wanaendelea kuzaana na kizazi cha halali, kitokanacho na ndoa za halali wakati waZayuni na waMagharibi wanazidi kulaanika kwa kuwa vipofu na viziwi na waliyoondoshewa sense ya halali na haramu kiasi kwamba halali kwao ni haramu na haramu kwao ni halali mpaka atakapokuja master wao AntiChrist watampokea na kumpenda na atakapokuja Isa (Jesus) wanamchukia, na hiyo ndio safari yao ya motoni (Jahannam)

- Isitoshe, kama unasoma vizuri humu hata hao wanawake ni wanawake wema na wenye ustahamilivu mkubwa na wanajisikiwa fahari kuchukuwa uja-uzito kutokana na waume zao wa hahali. Hii ni tofauti na waZayuni, waMagharibi na baadhi ya vichwa maji humu jamvini wasiofahamu maana ya neno zinaa na kuendelea kukoga katika laana kuendeleza kupata kizaki kwa njia za zinaa (kununua sperm wa mtu yeyote usijemjua kutoka benki ya manii, na uchafu mwengine mwingi ikiwemo hivi sasa kutaka kuwabadilisha walimwengu wote kama walivyo wao, aidha homosexuals, homomaniacs au homophiliacs ambapo manii yatawekwa sehemu zisizohusika- mi-ku-n-d-u-n-i, wachafu wakubwa njeee!!!)

Nasi Babi na wenzako, Mwenyezi Mungu awaongoze
 
2. Neno "smuggle" ambalo limechomekwa hapa halina maana isipokuwa ni kule kujaribu kusema kuwa kuwekwa jela =halali na wao kutuma mbegu za kizazi kwa wake zao wa halali ni "smuggle" yaani sio halali. Huu ni upuuzi, yaani "oxymorom rhetoric". Ukweli ni kwamba
/QUOTE]

Unaweza kutuambia wanazitowaje hizo mbegu zao bila ya kutenda dhambi?

Nitashukuru kama ukitufundisha hilo.
 
InVitro Fertilisation (IVF) ambayo ni huduma ya kitabibu ya kusaidia watu kupata watoto.

Kwa kiislamu hii ni njia halali pale tu inaposaidia mke na mume waliooana kihalali kupata watoto, pale ambapo njia ya kawaida haijawaletea mafanikio ya kupata watoto. La kama unataka uelezewe kivipi hasa IVF inafanyika, basi inabidi uulize kwa wanaohusika (madaktari wataalamu)

- Hii inatokea kutokana na medical reasons ambapo huu utaalamu unakuwa ni tiba

- Vile vile inakuja katika hali kama hii inayosababishwa na ukatili wa waZayuni wakisaidiwa na waMagharibi na vilevile kifikira na walio wengi wakiwemo mpaka humu jamvini, ambapo mke na mume waliooana kihalali huzuiliwa kukutana "kihalali kindoa" kwa sababu generic za "eti terrorists" katika moja ya mikakati iliyopangwa ili kuwazuilia au kuwapunguzia kizazi ili kuhakikisha kwamba katika generation chache zijazo wanatoweka kijamii(CALCULATED ETHNIC CLEANSING)

Kinyume chake ni kuwa wasiokuwa waislamu (hasa waMagharibi) hutumia huu utaalamu kupandikiza kizazi "kizinaa- adultery" na "namna nyengine za uchafu zaidi ya zinaa". Mfano:
- Kwa wasagaji
- Kwa surrogate mothers wanaobeba mimba kwa malipo ambapo mtoto huwa ni kwa ajili ya baradhuli mmoja (mfano muimbaji Ricky Martin) au mabaradhuli wawili (mfano Elton Jonh na baradhuli mwenziwe David Cornish)
- Ki-incest (yaani zinaa miongoni mwa wana familia) - Je umewahi kusikia wewe case ya mama mkwe aliyewekewa mbegu za kiume za mkwewe (yaani mume wa binti yake) ili "awasaidie" kupata kizazi? Hii unaiitaje kama kweli unao ufahamu wa halali na haramu na unampenda na kumuhofu Mwenyezi Mungu?
- Hiyo ni mifamo michache tu, mengine ukielezewa utaomba ardhi ipasuke uingie ili ufe ikuzike.

- Abimination za namna hii anazieneza nani ulimwenguni?.

- Na existence ya mfumo gani wa maisha (dini) ambao una-pause kama deterrent dhidi ya abomination hizi baina ya ukirsto na uislamu?

- Je unaelewa sasa kwa nini wanakudidimizieni mentality ya kwamba Uislamu ni terrorism na Waislamu ni terrorists?

Je unaweza kuja na namna nyengine ya kihalali katika suala hili ambayo waPalestina wangewqeza kuitumia dhidi ya CALCULATED ETHNIC CLEANSING inyokuwa committed dhidi yao na Zionists wakisaidiwa na western governments na hata UN?
 
Suala la mbegu kutolewa nje ya gereza halina mashiko. Kuna mifumo miwili ambayo daima inafanya kazi ulimwengu mzima. Serikali inakupa kifungo. Ugumu na urahisi wa maisha yako ukiwa gerezani unategemea mahusiano na mabwana jela. Sio mahakimu. Ndio maana Mandele kwenye karamu ya kuapishwa aliwaalika mabwana jela wake. Kwanini? Kwa vile walichangia kupeleka ujumbe wa ANC na mawasiliano ya Mandela nje ya South Africa na kati ya yeye na watu wake!!!!! Mfungwa wa Kipalestina akiwa gerezani sio lazima awe amechukizana na bwana jela wa Kiisraili. Kwa mfumo ule ule wa yaliyompata Mandela, usije shangaa ukakuta jambo hili linafanyika huku mabwana jela wakilijua, lakini tofauti inakuwa ni kwamba suala la leo wamsaidie nani itategemea sana anavyoishi nao. Ushirikiano wa wafungwa na mabwana jela ni ma-karne. Ama kuhusu dhambi ya kuzitoa hizo mbegu, hakuna dhambi iliyofanyika kwa vile mfungwa hakuzini na mtu, pili nia yake ni kupata mtoto katika ndoa yake halali
 
Back
Top Bottom