BBC ilivyotaka kuuziba ukweli wa Mambo huko Gaza!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,929
Reaction score
6,030
Mtangazaji wa BBC idhaa ya kiarabu alivyokuwa akijaribu kuuficha ukweli kwa ya nayo endelea huko Gaza

Anaficha ukweli kuhusu Njaa ya kutengeneza huko Gaza kwa kuonyesha video za watoto wakigombania chakula wakati afya zao ni njema kabisa.
 
Attachments

  • IMG_2974.jpeg
    IMG_2974.jpeg
    120.9 KB · Views: 12
Mtangazaji wa BBC idhaa ya kiarabu alivyokuwa akijaribu kuuficha ukweli kwa ya nayo endelea huko Gaza

Anaficha ukweli kuhusu Njaa ya kutengeneza huko Gaza kwa kuonyesha video za watoto wakigombania chakula wakati afya zao ni njema kabisa.
Hayo waliayataka wagaza wenyewe, acha wanywee kikombe walichokiandaa.
 
Kwa wajuvi wa mambo kile kilichotokea October 7 je hamas walikuwa wamejiandaa kwa vita na walitaka hii vita au? Maana navyojua mimi walirusha rocket zaidi ya elfu 5, wakachukua mashine ( heavy duty) bulldozer etc kubomoa uzio na kuvamia Israel....hamas hawakujua that was an act of war?

Kwa nn watu wanaomba vita isimame wakati hamas wako vitani kwa vita waliyoitaka na walijiandaa ndo maana bado wamewashikilia mateka
 
labda kusudi lao bado
halijatimia
 
Mateka washawaachia tuanze kuongelea njaa na kusimamisha vita... Hamas hawasameheki na hawajawahi omba msamaha.. vimbelembele ndio vinajifanya visikilizwe oh vita isimame huku vimebana pua
 
Back
Top Bottom