Naren JF-Expert Member Apr 22, 2016 692 425 Jan 8, 2017 #1 Dah, nipo naangalia makala hii inayohusu watu wenye albinism nchini mpaka huruma yani namna jua linavyowatesa. Eh jua kali kwakweli!!!!
Dah, nipo naangalia makala hii inayohusu watu wenye albinism nchini mpaka huruma yani namna jua linavyowatesa. Eh jua kali kwakweli!!!!
Musundi JF-Expert Member Dec 21, 2016 1,584 2,602 Jan 8, 2017 #2 Hivi kiswahili cha albino ni nini na kwa nini halitumiki?