Tuambie kwanza wamebaki wangapi!?Mpigiekura mshiriki pekee wa tanzania idris na kuleta ushindi nyumbani
tuma idris kwenda 15426 gharama yake ni tsh 600
hii ni kwa wateja wa tigo tu
kua mzalendo
Hivi kule BBA wanashindanisha nn, nani anaifafanulie kwa maneno machache
Tuambie kwanza wamebaki wangapi!?
Hashindi yule dogo....tayo anakimbiza mbaya till nw
siwezi kuchangia anasa nionekane mzalendo
Hivi kule BBA wanashindanisha nn, nani anaifafanulie kwa maneno machache
Naomba Mungu asishinde kwa kweli, maana ma haters apa tumbo joto, eeh mimi nae inabidi nifanyiwe maombi, nitakuwa mchawi sio bure, maana kila mtu simpendi
Kwenye mambo ya ujinga Tz ndio tunaongoza..... Khaaaaah aibuuuuu