I Insabhunsa Gusa Senior Member Joined May 13, 2011 Posts 109 Reaction score 88 Mar 26, 2012 #1 Wadau..Dogo wangu ka score Second Class Upper Division....Hii ina maana gani?? Je anaweza kupata nafasi kwenye Masters Level kwenye fani zipi?? Naomba kufahamishwa, asanteni kwa mchango wenu wenye tija.....
Wadau..Dogo wangu ka score Second Class Upper Division....Hii ina maana gani?? Je anaweza kupata nafasi kwenye Masters Level kwenye fani zipi?? Naomba kufahamishwa, asanteni kwa mchango wenu wenye tija.....
N NnyaMbwate JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 1,678 Reaction score 1,204 Mar 26, 2012 #2 Taja na Course aliyosomea!
I Insabhunsa Gusa Senior Member Joined May 13, 2011 Posts 109 Reaction score 88 Mar 26, 2012 Thread starter #3 Bachelor of Business Adminisration ( Marketing and International Business)
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,358 Mar 26, 2012 #4 Ya chuo gan hiyo?
I Insabhunsa Gusa Senior Member Joined May 13, 2011 Posts 109 Reaction score 88 Mar 26, 2012 Thread starter #5 Senetor said: Ya chuo gan hiyo? Click to expand... Open University of Tanzania ( OUT )
Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,087 Mar 26, 2012 #6 Insabhunsa Gusa said: Open University of Tanzania ( OUT ) Click to expand... Anaweza kusoma MBA....
Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,743 Mar 26, 2012 #7 Rejao said: Anaweza kusoma MBA.... Click to expand... ya chuo gani?
Makindi N JF-Expert Member Joined Mar 14, 2008 Posts 1,066 Reaction score 177 Mar 26, 2012 #8 Yo Yo said: ya chuo gani? Click to expand... Ya chuo chochote kinachotoa MBA!
Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,087 Mar 26, 2012 #9 Yo Yo said: ya chuo gani? Click to expand... Nafikiri jibu umeshaliona hapa chini Makindi N said: Ya chuo chochote kinachotoa MBA! Click to expand...
Yo Yo said: ya chuo gani? Click to expand... Nafikiri jibu umeshaliona hapa chini Makindi N said: Ya chuo chochote kinachotoa MBA! Click to expand...
K KVM JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 1,852 Reaction score 934 Mar 26, 2012 #10 Insabhunsa Gusa said: Open University of Tanzania ( OUT ) Click to expand... Kuna mtu aliniambia kuwa OPEN University ya Tanzania kuna watu wanapata degree ndani ya niaka mitatu.
Insabhunsa Gusa said: Open University of Tanzania ( OUT ) Click to expand... Kuna mtu aliniambia kuwa OPEN University ya Tanzania kuna watu wanapata degree ndani ya niaka mitatu.