BAZIR(kidume) AFARIKI DUNIA

Mtimti

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2008
Posts
942
Reaction score
649

Taharifa zinasema ''kidume'' amefariki jana mchana nyumbani kwake kwa ugonjwa wa apendix
wengi watamkumbuka kwa jinsi alivyokuwa analinda usalama kwenye matamasha mengi yaliyokuwa yakifanyika dar es salaam
RIP BAZIR
 
Taarifa mkuu.....anahusiana vipi na hoja mchanganyiko?
alafu hii biashara ya RIP hata kama alikuwa muovu ale RIP? arrrg
 
taarifa mkuu.....anahusiana vipi na hoja mchanganyiko?
Alafu hii biashara ya rip hata kama alikuwa muovu ale rip? Arrrg

habari/hoja mchnganyiko
 
Tumempoteza shujaa wetu katika matamasha na dhifa mbalimbali,mungu aiweke roho ya marehemu mahala panapostaili,aaamiiin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…