Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 17,572
- 27,320
Mkuu mimi sio employee..., kwahio siwezi kuwa mteja wenu wala kwenda kwenye ofisi zenu kwa maelezo itakuwa haina maana..., ila kwavile upo hapa unaona uvivu gani kutoa mchanganuo mzima wa kiasi cha kukopa na makato yote na vigezo na masharti yote.., hata mimi kama kesho kuna ndugu yangu anayefanya kazi akija kwangu ana shida na pesa naweza kumshauri kutokana na information zako.nenda kituo chochote cha bayport kwa maelezo zaidi ndugu yangu.
Ila huu usiri siri unaweza ukafanya watu wakaogopa, weka vitu wazi katika lugha ambayo hata layman anaweza kuelewa sio nipigie simu au njoo ofisini