Bayport yapunguza makato.

Bayport yapunguza makato.

Bray1

Member
Joined
Mar 8, 2014
Posts
10
Reaction score
0
Mimi ni loan officier wa bayport mkoa wa arusha, napenda kuwajulisha bayport tumepunguza makato na kukuwezesha wewe mteja wetu kunufaika. Mfano ukikopa laki tano kwa miezi sita utarudisha laki sita na kumi, ukikopa milion kwa miezi sita utarudisha milioni na laki mbili na elfu ishirini, tofauti na zamani ilikuwa ukikopa laki5 kwa miezi6 unarudsha laki7, ukikopa milion unarudisha riba ya laki4 kwa miezi6, sasa unaweza kukopa kwa mwaka, miaka2, miaka3 hadi mitano, kopa kwa sababu maalum na tujifunze kupata maelezo ya kutosha kwa kujitosheleza kabla ya kukopa, tunaowalenga ni wafanyakazi wa serikalini tu hata ukiwa na mkopo bado unaweza kukopa bay port. Wasiliana nami kwa namba 0762726126 kwa ushauri zaidi na maelezo zaidi
 
Kwa msaada wa wengi mnakopa mpaka kiwango cha kiasi gani, na iwe asilimia ngapi ya mshahara wa mtu (yaani mtu anaweza kukopa mara ngapi ya mshahara wake kwa mwezi) na je mnahitaji collateral pia au ni proof tu ya mtu kuwa ameajiriwa na analipwa mshahara
 
Mimi ni loan officier wa bayport mkoa wa arusha, napenda kuwajulisha bayport tumepunguza makato na kukuwezesha wewe mteja wetu kunufaika. Mfano ukikopa laki tano kwa miezi sita utarudisha laki sita na kumi, ukikopa milion kwa miezi sita utarudisha milioni na laki mbili na elfu ishirini, tofauti na zamani ilikuwa ukikopa laki5 kwa miezi6 unarudsha laki7, ukikopa milion unarudisha riba ya laki4 kwa miezi6, sasa unaweza kukopa kwa mwaka, miaka2, miaka3 hadi mitano, kopa kwa sababu maalum na tujifunze kupata maelezo ya kutosha kwa kujitosheleza kabla ya kukopa, tunaowalenga ni wafanyakazi wa serikalini tu hata ukiwa na mkopo bado unaweza kukopa bay port. Wasiliana nami kwa namba 0762726126 kwa ushauri zaidi na maelezo zaidi

Tumehamia crdb bagport siku zote mtawapata wasio makini kichwani. Kwa sasa crdb ndo mpango. Mkopo mmoja, nyumba inaonekana
 
Kwa sasa mtu anaweza kukopa kulingana na mshahara wake si kama zamani na tunakata robo tu ya mshaara, hiyo inatokana na masharti yaliyowekwa na serikali, na ikiwa utazidsha basi system itakataa, vinavyohitajika ni copy ya kitambulisho cha mfanyakazi, bank statement, salary slp na copy ya ATM.
 
Mimi ni loan officier wa bayport mkoa wa arusha, napenda kuwajulisha bayport tumepunguza makato na kukuwezesha wewe mteja wetu kunufaika. Mfano ukikopa laki tano kwa miezi sita utarudisha laki sita na kumi, ukikopa milion kwa miezi sita utarudisha milioni na laki mbili na elfu ishirini, tofauti na zamani ilikuwa ukikopa laki5 kwa miezi6 unarudsha laki7, ukikopa milion unarudisha riba ya laki4 kwa miezi6, sasa unaweza kukopa kwa mwaka, miaka2, miaka3 hadi mitano, kopa kwa sababu maalum na tujifunze kupata maelezo ya kutosha kwa kujitosheleza kabla ya kukopa, tunaowalenga ni wafanyakazi wa serikalini tu hata ukiwa na mkopo bado unaweza kukopa bay port. Wasiliana nami kwa namba 0762726126 kwa ushauri zaidi na maelezo zaidi
Weka hadharani interest rate per annum . Usitueleze habari za alki tano kwani kila mtu anataka kukopa laki tano? tena fafanua interest rate yenu ya zamani na ya sasa imipunguaje na makato mengine kwenye mkopo kama ada mbalimali pamoja na nyia mnazotumia kwa marejesho kama ni reducing balance au flat rate
 
Kwa sasa mtu anaweza kukopa kulingana na mshahara wake si kama zamani na tunakata robo tu ya mshaara, hiyo inatokana na masharti yaliyowekwa na serikali, na ikiwa utazidsha basi system itakataa, vinavyohitajika ni copy ya kitambulisho cha mfanyakazi, bank statement, salary slp na copy ya ATM.
Kulingana na mshahara wake how, nusu ya mshahara wake, mara kumi ya mshahara wake, sawa na mshahara wake au ?
 
Bado riba zenu ni kubwa mno...hasa kwa miezi michache ya kurudisha, na hamsemi riba ni asilimia kiasi gani, je asilimia ni 18 au 20 ya mkopo?

Haya mambo yote lazima yawe wazi, pia je hela ikirudishwa kabla ya wakati inakuaje....

Msifanye kama mambo ya Easy Finance, tunawaomba muwe wakweli na wawazi...
 
ntamaholo;ata mimi mkuu. Ni wezi sana na wanatumia mke wa mkapa kuiba. Sijawahi na sitothubutu. Mpango mzima ni kwa kimei tu
ndugu yangu serikali imeingilia hili suala kati na masharti yamewekwa.
 
Wasije wakawa kama ma "Shark Loan" Co hawa, maneno mengu matamu kumbe matapeli na wezi wakubwa....
 
Kulingana na mshahara wake how, nusu ya mshahara wake, mara kumi ya mshahara wake, sawa na mshahara wake au ?

naposema kulingana na mshahara ni kwamba mtu hawezi kukopa milioni50 wakati mshahara wake ni laki tatu unazani utamkata kiasi gani kama si kumuumiza, jua hatuna amana wala dhamana, na tunakata robo ya mshahara wa mtu hiyo robo ndiyo tunayoangalia tunaweza kukukopesha kiasi gani na kwa muda gan.
 
Wasije wakawa kama ma "Shark Loan" Co hawa, maneno mengu matamu kumbe matapeli na wezi wakubwa....

huu ni ukweli ndugu yangu nenda ofisi yoyote iliyokarbu nawe ya bayport kwa maelezo zaidi, maana kuuliza si ujanga, hiyo itakusaidia wewe na wengine wote wanaokuzunguka, asante.
 
ndugu yangu serikali imeingilia hili suala kati na masharti yamewekwa.
Zamani kulikuwa hakuna serikali? Kati ya taasisi zilizodidimiza watumishi, bayport mnaongoza. Watu wamelia sana kwa mbinu zenu za kutoa pesa ndani ya 24hrs
 
Kwa nguvu zote nasema hivi, mtu asijaribu kuingia mkataba na hawa wanaojiita Baybort, jamani msijaribu kabisaaaaa. Hasa nyinyi walimu huwa hamsikii. Kama huamini ingia usikie mziki wake. Watu wamelia sana kupitia hawa watu. Hata kama watapunguza makato mpaka sifuri, DON'T TRY THIS.
 
bora nianze vikoba kuliko nyie bayport majambazi waliniumiza sana.ni wanyonyaji wanakuambia muundo wa mkopo lakini wanakukata mara nne tofauti na mlivyoelewana.

USOTHUBUTU KUKOPA BAYPORT UTAJUTA MAISHA.
 
Back
Top Bottom