spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,029
- 21,527
Ndioooooo
Tangazo lao ni ndioooooo
Tangazo lao ni ndioooooo
swadakta, tena sauti ya m.kitenge ileNdioooooo
Tangazo lao ni ndioooooo
Yani ndioooooooooo in M kitengeeswadakta, tena sauti ya m.kitenge ile
Sio poa mkuu majamaa ni proffesionalKile nilichokuwa naambiwa na watu kuhusu hii kampuni nimeamini ni kweli ni matapeli wakubwa hawa.
Walikuwa wananidai deni lao kama milioni 2, nimeangalia salary slip nimekuta wameongeza deni limefika milioni 5. Huu sio utapeli kweli?
Mimi siwezi kubali kutapeliwa kizembe naomba msaada jinsi ya kuwaadabisha hawa nyumbu.
Haahaah umefanyiwa Loan Rescheduling (LR) kimya kimya mkuu. Hufanyika hivo then unaskikizia kama mteja atasumbua (mfatiliaji) inarudishwa normal. Akikaa kimya ndo imekula hioDeni lao lilikuwa limebaki 2 m nmecheki salary slip ya mwez uliopita deni badala ya kupungua limeongezeka 3 m mbele
Waandikie barua ya lalamiko,wasipojibu Basi Sheria ziko upande wako utapata na fidia km itathibitika mahakamaniHaahaah umefanyiwa Loan Rescheduling (LR) kimya kimya mkuu. Hufanyika hivo then unaskikizia kama mteja atasumbua (mfatiliaji) inarudishwa normal. Akikaa kimya ndo imekula hio