chendelela
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 1,145
- 1,010
Kile nilichokuwa naambiwa na watu kuhusu hii kampuni nimeamini ni kweli ni matapeli wakubwa hawa.
Walikuwa wananidai deni lao kama milioni 2, nimeangalia salary slip nimekuta wameongeza deni limefika milioni 5. Huu sio utapeli kweli?
Mimi siwezi kubali kutapeliwa kizembe naomba msaada jinsi ya kuwaadabisha hawa nyumbu.