Bayern Munich vs Chelsea - August 30, 2013 (UEFA Super Cup)

Bayern Munich vs Chelsea - August 30, 2013 (UEFA Super Cup)

my web

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
1,592
Reaction score
243
kama kawa kama dawa leo tunawaua tena kama tulivyofanya last uefa final chini ya mateo mida ya saa 3.45 .jose m. amedai hakuna sababu ya kuleta wasiwasi ni kichapo tu.usikae mbali na tv kuhakikisha mauaji.sisi ndio sisi wengine mafisi.

FT:

Bayern 2 - 2 Chelsea

Bayern wins by 5 Penalties over Chelsea's 4. Lukaku misses the last penalty.
 
hiyo mechi ni saa ngap east African time wakuu...nataka niangalie jinsi mourino anavyonyolewa....
 
hiyo mechi ni saa ngap east African time wakuu...nataka niangalie jinsi mourino anavyonyolewa....

saa nne kasoro robo .angalia uone mourinho anavyo watia watu adabu
 
nikiwa shabiki wa barca dua zote kwa morinyo anitilie adabu wale jamaa maana zile 7-0 na tukijumlisha za juzi 2-0
=9-0 nukikumbuka hata kula sitamani
 
historically morinho never defeated pep, lets wait and see if he gonna make an end of such a disaster
 
Morinho amepaki basi la scandinaviun nyuma hapapiti kitu
Huyo c kocha
 
Naona Guardiola anachezesha baadhi ya wachezaji (Lahm, Boateng & Muller) positions wasizozizoea. Hata Roben ni kama vile kaonywa kucheza kingassangassa. Wanahitaji muda kuzoea/asipoangalia itamgharimu.
 
Back
Top Bottom