BAWACHA yadhihirisha kuwa ndio Taasisi bora kabisa ya wanawake barani Africa kwa sasa

Kuna watu saivi wakiangalia hii picha Mavi yanagonga na kurudi. Hii picha itawaletea ukurutu, malengelenge, kuharisha, kutapika, kuzirai na hata kufa kabisa. Walisema chadema imepukutika yote. Hii picha ndio inawapa majibu.

Mungu ibariki chadema, 2020 ushindi kama kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushahidi huu hapa ni kielelezo cha ubora wa Taasisi hii kuongoza kwa sasa Africa na pengine duniani , kwa taasisi ambayo karibu viongozi wake wote wanakabiliwa na kesi mahakamani huku kukiwa na shinikizo kwamba ni lazima wafungwe Jumanne ijayo , hili si jambo la kawaida .

Ikumbukwe kwamba nchi hii kuna jumuiya zingine za wanawake zenye utulivu na zisizo na viongozi wenye kesi hata moja lakini zilizojaa viongozi vikongwe wasio na jipya na waliokosa maono , zimefunikwa vibaya mno na BAWACHA .

View attachment 1380911
View attachment 1380912View attachment 1380913

Pichani ni Mwenyekiti wa Chadema akiingia kwenye kongamano la BAWACHA kuhutubia

View attachment 1380914
View attachment 1380915

View attachment 1381013
Vicensia shule akimwaga mada

View attachment 1381014
Maria Sarungi akitoa neno

View attachment 1381016
Fatuma Karume akiingia ukumbini

View attachment 1381018
Kijo Bisimba ndani ya nyumba

View attachment 1381020
Dr Azavel Lwaitama akimwaga mada
Safi sana BAWACHA
 
Back
Top Bottom