maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,806
- 2,349
Wewe kweli umevurugwa,hebu rudia kusoma ulichoandika ujione ulivyo mbulura
kuna error mkuu ila ww kweli umevurugwa na bavicha
Wewe kweli umevurugwa,hebu rudia kusoma ulichoandika ujione ulivyo mbulura
ukombozi wa nchi gani?
kuna error mkuu ila ww kweli umevurugwa na bavicha
Wa Tanganyika Na Tanzania huru yenye haki na usawa kwa wote
Pesa za wizi tena kwa kuwadhulumu maskini wa nchi hii? Mola ataendelea kuwaumbua!kwa mkono wa mungu hamna jambazi yoyote! Nyie mnawaita mafisadi,mungu wetu tunaemuabudu kwa dini zote awapurukutishe majambazi wote wa mali na rasimali za wa TZ!Kwa faida ya matumbo yao,ya familia na wapuuzi wenzao wanao subiri kugaiwa vyeo!Laana kuu ya allah! Iwaangukie wote ni washenzi hamna lugha yoyote mbadala...Leo majira ya saa tisa alasiri kutafanyika mkutano mkubwa na wakistoria katika viwanja vya polisi katika mji wa mto wa Mbu wilayani Monduli.
Mkutano huo utaongozwa nakamanda shupavu mwenyekiti wa Bawacha mkoa Kamanda Cecy Ndosi viongozi mbalimbali wakichama watakuwepo. Mwenyekiti wa Bavicha taifa Patrobas, Natse(mb), Godbless Lema (mb), diwani Bananga, kamanda Magoma, kamanda Mawazo, nawengine wengi karibuni sana.
Updates
Walio zugumza leo jukwani ni Lema Natse Inno Bavicha Cecy Ndossi Patrobas. Wamezungumzia maswala mengi sana ikiwepo swala lavijana kujiandikisha, ufisadi wanaofanya ccm wa waziwazi, na kupiga kura namengine mengi
mtamua lowasa kwa presha
Naona ccm mapovu yameanza kuwatoka
Ndani ya tumbo la ccm,hakuna shani, watanzania tujue hilo
Mbona tumeshakombolewa toka mwaka 1961 mkuu
Ni kweli wametuwashia moto baa zote zimeisha pombe haswa viroba inabd tukqnywe mto wa mbu bawacha ni noumer khaa wanakombajeee
Khaaa! Hata ninyi mnakunywa viroba? Ama kweli nyani halioni kundule.
Lowassa,afanye hesabu kwa gharama alizotumia kuhonga makanisa,misikiti na vijana wa bodaboda, viongozi wa cc ya ccm ili wampitishe kuwa mgombea urais,je kwa nini fedha hizo asingejenga nyumba za walimu Monduli na kuwalipa pesa za likizo walimu wanaosota kila siku ndani ya halmashauri kufuatilia madai yasiyo na malipo.
Je,hata Obama aligawa fedha kwenye makanisa na misikiti?
Mwogope mtu anayeingia Madarakani kwa mtutu wa bunduki au kwa njia ya Hongo ataisimamiaje TAKUKURU?
Mbona tumeshakombolewa toka mwaka 1961 mkuu
Ukombozi wa pili toka kwa mkokoni mweusi magamba aka na escrow
yaaap! twende kazini sasa vp vijana kaz wanayofanya unaionaje?