BAWACHA wawasha moto Munduli

BAWACHA wawasha moto Munduli

Leo majira ya saa tisa alasiri kutafanyika mkutano mkubwa na wakistoria katika viwanja vya polisi katika mji wa mto wa Mbu wilayani Monduli.

Mkutano huo utaongozwa nakamanda shupavu mwenyekiti wa Bawacha mkoa Kamanda Cecy Ndosi viongozi mbalimbali wakichama watakuwepo. Mwenyekiti wa Bavicha taifa Patrobas, Natse(mb), Godbless Lema (mb), diwani Bananga, kamanda Magoma, kamanda Mawazo, nawengine wengi karibuni sana.

Updates nitaendelea kuwaletea mkutano ukianza

Hakikisheni hawaponi maani, wametunyonya sana
 
Leo majira ya saa tisa alasiri kutafanyika mkutano mkubwa na wakistoria katika viwanja vya polisi katika mji wa mto wa Mbu wilayani Monduli.

Mkutano huo utaongozwa nakamanda shupavu mwenyekiti wa Bawacha mkoa Kamanda Cecy Ndosi viongozi mbalimbali wakichama watakuwepo. Mwenyekiti wa Bavicha taifa Patrobas, Natse(mb), Godbless Lema (mb), diwani Bananga, kamanda Magoma, kamanda Mawazo, nawengine wengi karibuni sana.

Updates

Walio zugumza leo jukwani ni Lema Natse Inno Bavicha Cecy Ndossi Patrobas. Wamezungumzia maswala mengi sana ikiwepo swala lavijana kujiandikisha, ufisadi wanaofanya ccm wa waziwazi, na kupiga kura namengine mengi
Updates za pic za leo
 
Attachments

  • IMG-20150110-WA0189.jpg
    IMG-20150110-WA0189.jpg
    117.2 KB · Views: 1,472
  • IMG-20150110-WA0188.jpg
    IMG-20150110-WA0188.jpg
    96.3 KB · Views: 159
  • IMG-20150110-WA0184.jpg
    IMG-20150110-WA0184.jpg
    76 KB · Views: 159
  • IMG-20150110-WA0185.jpg
    IMG-20150110-WA0185.jpg
    114.6 KB · Views: 555
Mbona CHADEMA mnaanza kampeini mapema kabla ya hamjaruhusiwa na Tume ya Uchaguzi (NEC)?!

Hizi ndiyo FUJO anazosema Nape Moses Nnauye!

Mbona kinana naye amenza kampeni nani kamruhusu?
 
Kimbiza ccm Mwa mwi
 
Attachments

  • 1420829353408.jpg
    1420829353408.jpg
    9.4 KB · Views: 160
Back
Top Bottom