maganjwa
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 2,806
- 2,349
Leo majira ya saa tisa alasiri kutafanyika mkutano mkubwa na wakistoria katika viwanja vya polisi katika mji wa mto wa Mbu wilayani Monduli.
Mkutano huo utaongozwa nakamanda shupavu mwenyekiti wa Bawacha mkoa Kamanda Cecy Ndosi viongozi mbalimbali wakichama watakuwepo. Mwenyekiti wa Bavicha taifa Patrobas, Natse(mb), Godbless Lema (mb), diwani Bananga, kamanda Magoma, kamanda Mawazo, nawengine wengi karibuni sana.
Updates nitaendelea kuwaletea mkutano ukianza
kamanda nawaomba mje kongwa kwa ndugai waambie makamanda hao wa kitaifa hasa mwenyekiti waje waashe huku