Apologise lady
JF-Expert Member
- Sep 16, 2013
- 5,980
- 3,115
kamanda nawaomba mje kongwa kwa ndugai waambie makamanda hao wa kitaifa hasa mwenyekiti waje waashe huku
kweli hako kazee nako wakafanyie kazi mpemaa.
kamanda nawaomba mje kongwa kwa ndugai waambie makamanda hao wa kitaifa hasa mwenyekiti waje waashe huku
.... Anhaaa, Kumbe Wamealikwa Tu. Sasa Nimeelewa.
kweli hako kazee nako wakafanyie kazi mpemaa.
kweli hako kazee nako wakafanyie kazi mpemaa.
Pichaaa plz. Teaching aid ni muhimu ili somo lieleweke kwa magamba
ameipata fresh.
Makamanda ni kweli hammumtambui kamanda mwenzenuWewe Mwenyewe nimwanaume lakini umevaa sketi
juz alikuwa na mkurugenz kupanga namna ya kuthibiti chadema mana watu wana njaa sana huku mbinu yake ni kukataza wasiende kweny mikutano ya chadema
Mbona CHADEMA mnaanza kampeini mapema kabla ya hamjaruhusiwa na Tume ya Uchaguzi (NEC)?!
Hizi ndiyo FUJO anazosema Nape Moses Nnauye!
Kwani Kinana alienda Tanga kufanya nini, kuwinda tembo au?
Kama kamanda Mawazo atakuwepo, mkutano utanoga sana.
Wasisahau kukumbushia kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi mkuu!
sema tatizo la wa waTz ni kuwahi kusahau shida, yaani hao wakiletewa chakula kidogo tu, wanasahau kabisa shida, hawajui kufanya maamuzi. kutoenda kwenye mikutano ya chadema sio shida ila ila wawe tu na utashi wakufanya maamuzi magumu kwenye kura.
mfano. mim ninapokaa sikuamini wananchi walichokifanya uchaguzi wa juzi, kwa maana kwenye kampen za ccm watu walijaa na walikua wakishangilia sana, siku walipokuja chadema hadi nilihisi kulia, hakukua na mtu zaidi ya makamanda wenyewe na walikuwa 6 na watu tusio zidi 5, kwa kweli nilijua ccm inapita lakini jambo la ajabu, chadema ikapita.
kikubwa watu wanajua hali wanayopitia hivo nikuzidi kuelimishana ili tu watu wajue jinsi ya kutoyumbishwa na hawa wezi.
Mawazo ni muhuni tu hana lolote
Ukweli mkuu
hasa huku kanda ya kati kamanda acha waaminifu sana wakiletewa zawadi ila mdogo mdogo tunawaelimisha
Ni kweli wametuwashia moto baa zote zimeisha pombe haswa viroba inabd tukqnywe mto wa mbu bawacha ni noumer khaa wanakombajeee
Mnyika we na ubungo tu hutoki kuwajoin wenzio