Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,872
Leo majira ya saa tisa alasiri kutafanyika mkutano mkubwa na wakistoria katika viwanja vya polisi katika mji wa mto wa Mbu wilayani Monduli.
Mkutano huo utaongozwa nakamanda shupavu mwenyekiti wa Bawacha mkoa Kamanda Cecy Ndosi viongozi mbalimbali wakichama watakuwepo. Mwenyekiti wa Bavicha taifa Patrobas, Natse(mb), Godbless Lema (mb), diwani Bananga, kamanda Magoma, kamanda Mawazo, nawengine wengi karibuni sana.
Updates
Walio zugumza leo jukwani ni Lema Natse Inno Bavicha Cecy Ndossi Patrobas. Wamezungumzia maswala mengi sana ikiwepo swala lavijana kujiandikisha, ufisadi wanaofanya ccm wa waziwazi, na kupiga kura namengine mengi