PreGE2025 BAWACHA mwingine asemekana kushambuliwa na kikundi kilichopo chini ya Mwenyekiti wa CHADEMA Ilala

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
2,786
Reaction score
7,567
Wakuu,

Mbona kama kuna ka upepo kanatengenezwa hivi!🤨🧐🤔

1743322119922.png

Kamanda Lilian Byebalilo (BAWACHA) ameshambuliwa kwa kupigwa na watu wa Taskforce iliyopo chini ya Waziri Mweneviale (Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Ilala), shambulio hilo limepelekea Lilian kupoteza fahamu na kukimbizwa hospital kwa ajili ya matibabu kwa muda wa takribani masaa tano katika Hospitali ya JEMSA iliyopo Segerea.

Pia, Soma: Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

Na kisha kupewa rufaa ya kupelekwa Hospitali ya Amana iliyopo Ilala kwa ajili ya hatua zaidi za matibabu na uchunguzi wa afya yake hii ni mara ya pili kwa tukio la namna hii kutokea baada ya tukio lile la kwanza la kushambuliwa kwa mwenezi wa BAWACHA Taifa Siglada Mligo.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Hicho sio chama cha siasa, ni rasmi sasa kimekuwa ni kikundi cha Mungiki.
 
Kamanda Allen Kilewella, fanya uwasiliane na Makamanda wenzako wa chama akiwemo Mwenyekiti Mpya Kamanda Tundu Lissu, ili mfikie muafaka na hawa Bawacha, pamoja na makundi mengine yaliyokuwa nyuma ya Mwenyekiti aliyeondoka madarakani (Mh. Mbowe).

Ninachokumbuka wakati wa kampeni, hawa Bawacha wa sasa walikuwa upande wa Mbowe! Msipochukua hatua mapema ya kufanya maridhiano, mtakuwa mnaenda mbele na kurudi nyuma kutokana na hujuma mtakazofanyiwa na haya makundi yanayo endelea kuwapinga hata baada ya uchaguzi kumalizika.
 
Moto wa No Reform No Election unachoma kila kona mpaka wanapoteana hata kutengeneza propaganda zilizokwenda shule wameshindwa.
Yale ya kule Ikungi yanaanza kujirudia, watu walikula mpunga wa efm na bado mikutano ya lissu ilidamshi.
 
akome, oparesheni kabambe no reform,no election ccm inawakata

Na,watapigwa wengi tu
 
Kwanini mashambulizi haya wanao ona au kugundua ni CCM pekee???

Siasa kwa CCM hivi sasa imeshakuwa ngumu. Propaganda hizi za kitoto zinazidi kuwavua nguo.
 
Wakuu,

Mbona kama kuna ka upepo kanatengenezwa hivi!🤨🧐🤔

Kamanda Lilian Byebalilo (BAWACHA) ameshambuliwa kwa kupigwa na watu wa Taskforce iliyopo chini ya Waziri Mweneviale (Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Ilala), shambulio hilo limepelekea Lilian kupoteza fahamu na kukimbizwa hospital kwa ajili ya matibabu kwa muda wa takribani masaa tano katika Hospitali ya JEMSA iliyopo Segerea.

Pia, Soma: Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche

Na kisha kupewa rufaa ya kupelekwa Hospitali ya Amana iliyopo Ilala kwa ajili ya hatua zaidi za matibabu na uchunguzi wa afya yake hii ni mara ya pili kwa tukio la namna hii kutokea baada ya tukio lile la kwanza la kushambuliwa kwa mwenezi wa BAWACHA Taifa Siglada Mligo.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mnazi haupandwi uwani!
 
Back
Top Bottom