Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 2,786
- 7,567
Wakuu,
Mbona kama kuna ka upepo kanatengenezwa hivi!🤨🧐🤔
Kamanda Lilian Byebalilo (BAWACHA) ameshambuliwa kwa kupigwa na watu wa Taskforce iliyopo chini ya Waziri Mweneviale (Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Ilala), shambulio hilo limepelekea Lilian kupoteza fahamu na kukimbizwa hospital kwa ajili ya matibabu kwa muda wa takribani masaa tano katika Hospitali ya JEMSA iliyopo Segerea.
Pia, Soma: Ghasia Ndani ya CHADEMA: Mwenezi wa BAWACHA Taifa ashambuliwa na Walinzi wa Heche
Na kisha kupewa rufaa ya kupelekwa Hospitali ya Amana iliyopo Ilala kwa ajili ya hatua zaidi za matibabu na uchunguzi wa afya yake hii ni mara ya pili kwa tukio la namna hii kutokea baada ya tukio lile la kwanza la kushambuliwa kwa mwenezi wa BAWACHA Taifa Siglada Mligo.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025