BAWACHA Musoma Mjini kuanza mikutano rasmi leo

BAWACHA Musoma Mjini kuanza mikutano rasmi leo

HabariChademamara

Senior Member
Joined
Apr 6, 2015
Posts
113
Reaction score
91
BAWACHA jimbo la Musoma mjini Leo wanafunguwa pazia rasimi ya mikutano yao yakuhamashisha wanawake wajitokeze kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura.

Itakayo aanza 09/06/2015 hadi 06/07/2015, Mkutano utahutubiwa na viongozi wa BAWACHA Wilaya wakiongozwa na Mwenyekiti Mariam pamoja na Katibu Angela Lima Derrick.

Muda kwanzia saa nane mchana katika Kata ya Mwisenge eneo la Majita road kumbuka kufika bila kukosa.

BAWACHA wanawake nguvu ya maendeleo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom