Bawacha Musoma mjini wanaendelea na harakati..

Bawacha Musoma mjini wanaendelea na harakati..

HabariChademamara

Senior Member
Joined
Apr 6, 2015
Posts
113
Reaction score
91
Bawacha jimbo la Musoma mjini wanaendelea na mikutano yao ya kuhamashisha wanawake wajitokeze kujiandikisha katika daftari la kudumu LA wa piga kura.zoezi ambalo linaanza rasimi tarhe 09/06/2015 hadi 09/07/2015 katika Mkoa mzima wa Mara.mkutano wa leo utaongozwa na mwenyekiti kamanda Mariam akiwa pamoja na Katibu wake kamanda Angela Derrick. Karibu sana kata ya kigera..
 
Back
Top Bottom