HabariChademamara
Senior Member
- Apr 6, 2015
- 113
- 91
Wanainchi waliojitokeza kuwasikiza viongozi wa Bawacha Wilaya Musoma mjini. Katika viwanja vya majita road kata ya mwisenge.
Saafi Saana Bawacha, wafundisheni watanzania waikatae hii ccm na mfumo wao wa utawala uiloshindwa kupata majibu ya kero za watanzania. Maji shiiiiiiiiiiiida, afya shiiiiiiiiiiiiiiiiida tena kina mama wanalala wanne wanne wodi ya wazazi, ufisadi ndio usiseme kabisa, miundo mbinu hovyoooooo kabisa.