Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,432
Kimeumanasema kimeumana
Sheria za nchi si za Ndugaiwivu tu, ndugai alishatoa muongozo wa kufata, leteni kikao kilichokaa , ambatisheni kaatiba yenu inasemaje, je baraza kuu lilikaa lini, je walisikilizwa,
je kama mlizidiana maarifa kwenye ulaji, au kuwekana ubunge viti maalumu , mmeamua kuwaaharibia, basi ndugai awafukuze tu ....kama ikiwa hivo ,itakuwa mbunge akigombana na wenye chama hata bila sababu ya msingi, anavuliwa uanachama then anakomolewa asiwe mbunge , Na spika akikubali huo ujinga ,.... basi Hakuna demokrasia mnayoiimba kila siku
HAPA NI WIVU TU KWA KINA MDEE , KISA WALIWAWAHI KINA MBOWE WASIPELEKE MAJINA YA KINA JOYCE MUKYA
Muruto ni adui wa haki. Kuwa Polisi haina maana kwamba usitumie akili zako vyema
😀 😀 Wameanza kupima kina cha maji hawa.
Watu badala ya kufanya kazi ili kukuza uchumi wa nchi wamekalia poor politics zisizo na tija katika uchumi na maendeleo ya nchi, poor you!
Kituo kizima kingetekwaSasa hivi kuna uhuru wa vyombo vya habari hadi raha.ITV wameirusha hii clip kwenye taarifa ya habari.Ingekuwa kipindi cha Mwenyekwenda zake ,walahi wasingethubutu kurusha!!
Kumwahi mwingine ni halali kisheria? Hakuna utaratibu wa kikao cha maamuzi au ofisa anayethibitisha kuwa hawa sasa ndio wabunge?wivu tu, ndugai alishatoa muongozo wa kufata, leteni kikao kilichokaa , ambatisheni kaatiba yenu inasemaje, je baraza kuu lilikaa lini, je walisikilizwa,
je kama mlizidiana maarifa kwenye ulaji, au kuwekana ubunge viti maalumu , mmeamua kuwaaharibia, basi ndugai awafukuze tu ....kama ikiwa hivo ,itakuwa mbunge akigombana na wenye chama hata bila sababu ya msingi, anavuliwa uanachama then anakomolewa asiwe mbunge , Na spika akikubali huo ujinga ,.... basi Hakuna demokrasia mnayoiimba kila siku
HAPA NI WIVU TU KWA KINA MDEE , KISA WALIWAWAHI KINA MBOWE WASIPELEKE MAJINA YA KINA JOYCE MUKYA
Nchi inapumua bado kirusi kimoja ama viwili mungu atuondolee tujue nchi imerudi zama za kushirikiana. Legacy inapotea hivi.Sasa hivi kuna uhuru wa vyombo vya habari hadi raha.ITV wameirusha hii clip kwenye taarifa ya habari.Ingekuwa kipindi cha Mwenyekwenda zake ,walahi wasingethubutu kurusha!!
Mkuu hayo ndio majariwa yetu inasikitisha ila ndio hivyo haina jinsi.Watu badala ya kufanya kazi ili kukuza uchumi wa nchi wamekalia poor politics zisizo na tija katika uchumi na maendeleo ya nchi, poor you!
Wala siyo mbaliNchi inapumua bado kirusi kimoja ama viwili mungu atuondolee tujue nchi imerudi zama za kushirikiana. Legacy inapotea hivi.