Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,124
kuna viongozi wa bavicha au majina ya viongozi wa bavicha. Ule uongozi ni kama viti maalumu.haina tofauti na pacha wao uvccm unawapa uongozi watu wasio na uwezo wala mvuto unategemea nini by daway mr mbowe na bwana slaa wanaua chama waliwafanyia fitina kina mchange,saane,nyakarungu.wakiogopa eti wakichukua uongozi itakuwa ngumu kwao kuendeleza ufisadi na kubwa kwakua wote haziendi nao walijua wanaweza tengeneza mtandao 2013 ukawatoa kwenye power wakashndwa endeleza biashara zao mle ndani ya chama yule slaa nae huwa kama mtambo kichwani wakati anawahoji wagombea ndani sababu za kuenguliwa alisema tofauti na alizosema kwa waandishi busara 2 ndo ilitumika ule uchaguzi ungevurugika
ebana Ben umejibu vizuri sana na umeweza kuwakilisha wanachama wa Bavicha,je hakuna kiongozi yoyote wa Bavicha ambaye yupo ndani ya JF na ku2ambia mikakati yao!WanaJF,Bila shaka asilimia kubwa ya wachangiaji wa Mtandao huu ni wapenda mabadiliko.WanaJF mnapenda kuona mabadiliko kwa vitendo na si kwa maneno.Kuhusu suala la BAVICHA mimi si msemaji lakini ni mwanachama.Naomba tuwe na subira.Ni karibia miezi miwili tu tangu uongozi wa BAVICHA uchaguliwe.Kwa vyovyote vile katika hicho kipindi ni lazima kuwe na mambo ya kuwekwa sawa na propgramme nyingi zilizoingilia kwa mfano baadhi ya viongozi kuwa nje ya nchi na ratiba nyingine zilizoingilia kati hasa hizi za BajetiPia,tutambue kuwa sote kama tuna mapenzi ya dhati kuona upinzani imara na mabadiliko ya haraka Tanzania kisiasa,kiuchumi na kijamii na hasa sera nzito zinazoathiri vijana ambao ni asilimia kubwa ya population yetu lakini kwa bahati mbaya ndiyo wahanga wa sera mbovu za kiuchumi,kisiasa na kijamii basi tunawajibika kwa pamoja kuwapa sapoti na kutoa maoni ya dhati ili Bavicha iweze kusimama na kutekelezaa wajibu wake.CHADEMA kama chama makini cha siasa Tanzania hakijawahi kukosa umakini katika mambo na mipango yake.Natambua kuwa hapa ni kwenye jukwaa la hadhara si website ya chadema,lakini sote tunawajibika na tunatamani upinzani imara na tunatarajia kuwa na serikali makini itakayoundwa na Chadema hapo mwaka 2015. Ni dhahiri kwamba mabadiliko ya kisiasa ni lazima yawe na nguvu ya vijana.Ni lazima tukiri kwamaba wenzetu UVCCM na chama chao wameanza harakati za kujisafisha iwe kimaigizo au kwa dhati but ukweli unabaki kwamba ni lazima tuongeze kasi,ni lazima mikakati yetu pamoja na outreach ziwe za kutosha kwa sababu hatuwezi kutegemea uchafu na madhaifu ya CCM ndiyo yatuingize ikulu mwaka 2015.Mabadiliko ya aina hiyo hayatakuwa na manufaa,so we must act boldly and on due time.Ukishaona wenzetu kama akina Bashe wanaomba maoni kwenye mitandao kama hii ujue wamesoma alama za nyakati,so inabidi tuwe mbele yao zaidi mara mbili katika mbinu na mikakati.Kila mmoja anatambua 2015, No youths,no Vote. Maandaalizi yetu tactically,technically and strategically yanategemea na mkakati wetu kama vijana.Pia,kwa wale wanaoleta persona issues na kujadili trivial issues kwenye hoja za kitaasisi sidhani kama wana malengo mema na sisi au pengine wameteleza.Kuna ambaye ametaka kufananisha Bavicha na UVCCM,huyo nampa pole.Baadhi ya wanachama kwenye vyama vya siasa wanaweza kuwa dhaifu kama wanachama wa chama kingine cha siasa lakini Taasisi ni tofauti.So the SWOT analysis ya Bavicha iko tofauti sana UVCCMNakumbusha.....2015, No youths,No Vote ! sote tuwajibike ili 2015 tukiondoe chama dhalimu kilichoshindwa madarakani.vijana wengi wenye uwezo na vigezo jiandaeni kugombea nyadhifa mbalimbali.Mwaka 2015 tunaweza kuweka historia Afrika kwa kuwa chama Tawala(sorry,chama Ongozi) kwa kukiondoa chama kikongwe Afrika lakini kilichopoteza Dira.Tutakuwa chama mbadala kilichoingiza vijana wengi zaidi bungeni na kuunda serikali,tutakuwa na Bunge la vijana kuliko mabunge mengine yote Afrika.Tuwajibike,tuwe na ujasiri,tusiogope wanasiasa walioshindwa.let us Dare!Aint no change without the power of youths ! ! !
ebana Ben umejibu vizuri sana na umeweza kuwakilisha wanachama wa Bavicha,je hakuna kiongozi yoyote wa Bavicha ambaye yupo ndani ya JF na ku2ambia mikakati yao!
Sidhani kama CDM wanayo sera ya kutoa nyumba kwa viongozi wake. Kwani Malisa amepewa nyumba na Magamba?Mkuu, kwani CDM bado hawajampa nyumba mpaka anatunzwa na kaka yake?
acha dharau wewe yuko ujerumani alikokwenda kupewa mafunzo ya kiingereza na namna ya kupigana na wapinzani wao wa ccm na nccr, na kupewa mikakati ya kuwashinda waislaamu kwani anapewa mafunzo na chama cha kikristo huko germany bwana.
halafu huoni alizuiwa asifanye uteuzi wa viongozi wengine, unadhani hapo baraza lake litafanayaje kazi, bila mratibu wa uhamasishaji, bila katibu na manaibu wao.
slaa akasema wamezuia ili wachague wajumbe katika mikoa yote lakini undani unasema wamasiktisha baada ya kuona zitto yuko karibu nae hahahahaa homa ya jamaa!..... hawa watachukua nchi kwa namna hii? mm nasema wamlete yeyote tu tunamchapa tena kwa 80% zaidi 2015
na igunga mwambieni slaa aende.
kwani bila heche utendaji wa bavicha unasimama?Heche alikuwa ugermany karudi last week,tumsubiri kidogo tu then tuone jipya
Tangu uongozi mpya wa Bavicha uingie madarakani naona kimya! Au ndo kujipanga? Maana magamba wanazunguka 2 mikoan! Heche vp? Au zilikuwa nguvu za soda! Peoples 2sisubiri mpaka uchaguzi maana watanzania wanatakiwa kufunguliwa!
Mkuu, nadhani utakuwa umesahau Mbowe alisema CDM wanampa Dk Slaa nyumba na wanampa posho ya milioni saba na nusu kwa mweziSidhani kama CDM wanayo sera ya kutoa nyumba kwa viongozi wake. Kwani Malisa amepewa nyumba na Magamba?
Unajua kiswahili vizuri au unakurupuka? Nimeuliza kuwa ha2ckii lolote kutoka kwa bavicha tangu uchaguzi upite..je ndo kujipanga? Na harakati nyingi za CDM zinafanywa kwa ukubwa na Wabunge kwa hiyo nilitaka kupewa mikakati ya Bavicha na mwenyekiti wake au kiongozi yoyote..Hoja ya KIPUUZI KABISA! Ama muanzisha maada hajui anachotaka kusema au analo lake jambo ameshaconclude so anatafuta tu mass support na kuingiza katika umma mawazo yake potofu. Kwanza ameanza kwa kusema kuwa "uongozi mpya wa Bavicha uingine madarakani ni kimya" lakini katika hoja hiyo hiyo anasema "labda ilikuwa nguvu ya hoja" sasa hapa anaamnisha nini? Maanake anakiri kuwa uongozi huo ulishaanza kufanya kazi fulani kwa kasi ambayo uliufanya usikike ndo maana anahisi ilikuwa nguvu ya soda, kama ungekuwa kimya asingesema kuwa 'au ilikuwa nguvu ya soda'. This is nonsense. Haya kisha anasema 'Magamba wanazunguka tu m ikoani'. So what! Kwa kuwa magamba wanazunguka tu mikoani, Bavicha nao wazunguke tu mikoani? Lakini pia kama hoja yake ilikuwa ni BAVICHA, basi tulitegemea atuambie kuwa UVCCM wanazunguka tu huko, wakati Bavicha wamekaa tu Dar. Ilikuwa kitu kizuri kama ungeonesha nia ya kutaka kujua ratiba ya hao Bavicha, ndo ujenge hoja, badala ya kutaka ku-personalize hoja yako kwa kumsukumia Kamanda Heche. Aaaagh, tujenge hoja jamani. That is great thinking.
Tangu uongozi mpya wa Bavicha uingie madarakani naona kimya! Au ndo kujipanga? Maana magamba wanazunguka 2 mikoan! Heche vp? Au zilikuwa nguvu za soda! Peoples 2sisubiri mpaka uchaguzi maana watanzania wanatakiwa kufunguliwa!
Wamepanga Maandamano nchi nzima mjitokeze kwa wingi tu
Ni lazima tukiri kwamaba wenzetu UVCCM na chama chao wameanza harakati za kujisafisha iwe kimaigizo au kwa dhati but ukweli unabaki kwamba ni lazima tuongeze kasi,ni lazima mikakati yetu pamoja na outreach ziwe za kutosha kwa sababu hatuwezi kutegemea uchafu na madhaifu ya CCM ndiyo yatuingize ikulu mwaka 2015.Mabadiliko ya aina hiyo hayatakuwa na manufaa,so we must act boldly and on due time.Ukishaona wenzetu kama akina Bashe wanaomba maoni kwenye mitandao kama hii ujue wamesoma alama za nyakati,so inabidi tuwe mbele yao zaidi mara mbili katika mbinu na mikakati