OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,035
- 114,473
BAVICHA wamemshitaki Mtukufu Rais katika kaburi la Mwalimu Nyerere kijijini Butiama.Katika kabuli hilo BAVICHA wamemwambia Mwalimu Nyerere kuwa Rais Magufuli anatoa matamko ya kukandamiza demokrasia.Ambayo Mwalimu alikuwa kati ya wazee waliobariki uwepo wa vyama vingi.Vilevile BAVICHA wameshitaki kuwa Rais anakandamiza uhuru wa kutoa maoni