Hii ndio Bavicha bwana!!!!Acha kubwabwaja wewe kama domo kaya, jibu hoja. Nimeuliza huyo munishi ndio takataka gani na bavicha ndio nini au ni baraza la vichaa wa chagga?...sasa unaonge ongea utafikiri umedondoka kutoka juu ya mwembe wewe kama nani?...au ndo wewe huyo munishi mwenyewe...
Kiukwel nanyi mmezid mbwembe kwenda Australia ni ajabu sana kwa BAVICHA,nimeamin ule msemo wa wahenga LIMBUKEN HANA SIR
mkuu AUSTRALIA siyo ulaya. Nenda shule, bado hujachelewa
Nimekuelewa Mkuu... Nilisahau kama hili ni genge la Malaria SuguMkuu you're wasting your time kujibizana na takataka.
Ubarikiwe sana....Yethu wangu. Naona unaendelea kujimbia mdomoni tu. Hivi unadhani kila mtu humu ndani ni mwana chadema ama mwana ccm?...huyo aliyewadanganya kuwa ukibanwa kwa hoja usingizie uccm amewararua kisawa sawa...tena usijaribu kuropoka ropoka. Nimeuliza kuhusu munishi ni nani na bavicha ni nini sasa nakushangaa wewe umenivamia, au wewe ni mrs munishi?...au wewe ni nyumba ndogo yake?...jaribu kujibu hoja acha porojo hizo kama umedondokea pua sema mrs munishi..
Sometimes hapa ndipo CHADEMA mnapokosea. Ilikuwa ziara binafsi? Kwa kuwa yupo ndani ya vazi rasmi la chama sidhani kama ni shughuli binafsi. Kama ndivyo, kwa nini taarifa haikutolewa kwa umma mapema? Sijui hili linaangukia kwa nani but I think itakuwa Kurugenzi ya Mambo ya Nje au Habari na Uenezi. There must be a problem somewhere regarding information dissemination to the public.
Haiingii akilini kwa mtu mzito kama Katibu Mkuu BAVICHA kupasua anga lote all the way to Australia halafu wahusika wamekaa kimya tu, umma haujui lolote hadi mmoja wetu (mwanJF) just by chance akutane na taarifa FaceBook na kutumegea hapa.
Kwenye discussion Kipima Joto ITV jana Mh. Mnyika alituhakikishia kwamba falsafa ya CHDEMA ni "Nguvu ya UMMA" kama ndivyo basi "Taarifa kwa UMMA" ni jambo la msingi na muhimu na itolewe kwa wakati. Usitegemee umma uku-support bila kuupa taarifa.
JITOFAUTISHENI NA WENGINE.
Acha kubwabwaja wewe kama domo kaya, jibu hoja. Nimeuliza huyo munishi ndio takataka gani na bavicha ndio nini au ni baraza la vichaa wa chagga?...sasa unaonge ongea utafikiri umedondoka kutoka juu ya mwembe wewe kama nani?...au ndo wewe huyo munishi mwenyewe...
Siyo kila kitu kitangazwe, wabaya wetu wanapenda kutuigizia . Tukifanya kumi tunatangaza nne
Kweli kaka...labda tu haujui, munishi ameeenda australia kuwashawishi vijana wajiunge na CDM, si hata heche aivyoteuliwa tu kuwa mwenyekiti alienda ujerumani, sasa na yeye ameenda huko kuosha nyota kama bosi wake, ameshindwa kufika mlandizi kuhamasisha watu wajiunge na chama yeye kaenda kusafisha nyota kwanza..kaaazi kweli kweli...
Hebu tuambie bwana katoa hoja gani hapa zaidi ya kejeli?Ni kweli.Ajibu hoja.Hilo ndio tatizo letu Watanganyika.
Nimepita kwenye facebook wall ya katibu mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi nikakuta picha hii akiwa nahutubia mkutano wa vijana wa demokrasia duniani huko Sydney Australia kwenye ukumbi wa bunge la nchi hiyo.
sijajua nini alichokua anawasilisha na hiyo ilikua ni jana.
Nawapongeza viongozi wa Bavicha ila challenge ni kwamba mkumbuke mna kazi kubwa hapa nyumbani ya kuwafanyia vijana.
Huyo ndiyo Munishi katibu mkuu wa BAVICHA akiwa nafanya vitu vyake uko Sydney. UVCCM mpooooooo?
Nazipenda sana kombati za Chadema; sijui ni nani aliyezibuni. Zamani zile tulikuwa tunaiziita Khaki Amerikandani ya kombati jeusi
Nimepita kwenye facebook wall ya katibu mkuu wa BAVICHA Deogratias Munishi nikakuta picha hii akiwa nahutubia mkutano wa vijana wa demokrasia duniani huko Sydney Australia kwenye ukumbi wa bunge la nchi hiyo.
sijajua nini alichokua anawasilisha na hiyo ilikua ni jana.
Nawapongeza viongozi wa Bavicha ila challenge ni kwamba mkumbuke mna kazi kubwa hapa nyumbani ya kuwafanyia vijana.
Huyo ndiyo Munishi katibu mkuu wa BAVICHA akiwa nafanya vitu vyake uko Sydney. UVCCM mpooooooo?
Nimekuelewa. Lakini hakukuwa na ubaya wowote kutoa just taarifa fupi kama vile "KATIBU MKUU BAVICHA ATAKUWA AUSTRALIA KIKAZI KWA SIKU MBILI". Hii ingetosha sana; at least vijana tungejua katibu mkuu wetu yuko wapi kwa muda huu kwa masuala ambayo ni ya kikazi/ofisi.
Unapowaficha washikadau wakuu (UMMA) usidhani "wabaya wetu" nao utawaficha; tangu anaingia airport they (wabaya) know each and everything.
Munishi ndio nani tena huyo mbona si mfahamu?...halafu mnaposema BAVICHA mnamaanisha nini BARAZA LA VICHAA WA CHAGGA au mnamaanisha nini. Tuambiane bana wengine ni wageni hapa.